Amos Makala akipiga kazi na bodaboda

Amos Makala akipiga kazi na bodaboda

ras mkweli

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2012
Posts
280
Reaction score
105
Mbunge wa mvomero, Mh. Amos Makalla akitumia bodaboda kufanya ziara jimboni kwake.
Unazungumziaje harakati hizi za wabunge kipindi hiki tukielekea kwenye Uchaguzi mkuu?

Maajabu haya,jimboni kwake hutembea na msafara wa difender za polisi 2 . Mh imekuwaje tena au ameshaacha kuwaogopa wananchi wake. Maana alishinda kwa uongo uchaguzi
 
Mbunge wa mvomero, Mh. Amos Makalla akitumia bodaboda kufanya ziara jimboni kwake.
Unazungumziaje harakati hizi za wabunge kipindi hiki tukielekea kwenye Uchaguzi mkuu?

utakuwa ni wewe makala umejipiga picha na kuleta hapa jf kifupi hata upande nyani bado raia hawana imani na nyie magamba saiv mnakazi kubwa hiyo janja tu ili uonekane uko pamoja nao kumbe chenga tu unasaka kura ukipita kurudi tena hadi 2019.
 
cc AMOSI Makala
 
Last edited by a moderator:
hahahaaaa anakumbuka shuka asubuhi. hata atumie baiskeli janja yao Imeshajulikana. hadanganyiki mtu .
 
yaani inaonesha kwamba jimboni kwake barabara hakuna ndio maana anapita porini kwa bodaboda mivx haipiti huko
 
Back
Top Bottom