Amos Makala akipiga kazi na bodaboda

Amos Makala akipiga kazi na bodaboda

Mbona hawajavaa helmet kichwani hawa aise afande hebu fuatilia hii haraka sana hatua zichukuliwe kudhibiti uvunjwaji wa sheria za usalama barabarani
 
hata wakibeba ndoo ya maji kichwani hatundanganyiki
 
ni wapi hapa mtoa mada? ni Kidudwe nin? Jana na juzi nlikuwa moro wadau wa magamba wanasema wanamrudisha Sadiq ili makala aondoke na kikwete wake lkn makamanda nao hasa wa turiani, mvomero, mkindo,wami dakawa yote mpaka sokoine picha wanasema ni kipindi cha cdm kushine jimboni Mvomero! Hapo vip mtoa mada? nabalansi news hapa.
 
hata wakibeba ndoo ya maji kichwani hatundanganyiki
Pia hata wakiamua kunywa piwa au kuvuta bangi kama kule Igunga walivyofanya nape na Kinana pia makamanda wameaniahidi hawatetereki ni elimu dunia(elimu ya Uraia) kwa kwenda mbele!
 
CCM na boda boda ? Haya ameanza lini ? Mbona kachelewa sana ? He only posed for the photo nothing much .
 
10993402_1156748317672918_3480050901196201659_n.png

hizo ni mbembe na usanii wa vingozi wetu je kwa kupanda hiyo bodax2 wananchi wa eneo hilo wamepunguziwa umaskini wao?:welcome:
 
Mbunge wa mvomero, Mh. Amos Makalla akitumia bodaboda kufanya ziara jimboni kwake.
Unazungumziaje harakati hizi za wabunge kipindi hiki tukielekea kwenye Uchaguzi mkuu?




huyu harudi mwakani 2015 Marcosy kamkalia vibaya...
 
Propaganda rahisi sana hii, Watanzania wa leo sio wa jana.
Utasifiwa sana ila wana majibu yao tayari
 
Back
Top Bottom