Amoeba jr!!!?...........what a gift!

Amoeba

JF-Expert Member
Aug 20, 2009
3,289
781
Heri kwenu wadau, nina imani mambo yanaenda vizuri.
Nakuleteeni habari njema kuwa my wife mpenzi amejifungua mtoto wa kiume, lakini amejifungua kwa operation! Nimeona ni jambo laheri kuwajulisheni ndugu jamaa na marafiki kuhusiana na hili ili kwa yeyote mwenye mapenzi mema anaweza kuongezea maombi yangu kwa Mungu amjaalie mke wangu mpenzi afya na nafuu mapema. Hapa ninapoandika sipo home, nipo Moro kwenye workshop flani, hata amani sina kabisa.
 
Hongera sana mkuu. Tunamuombea mama na mtoto afya njema. Mungu awabariki sana.
 
Hongera sana mkuu. Mungu awajalie mama, mtoto na baba afya njema.

Mjaaliwe mpate na wengine wengi, waijaze meza yenu wakati wa chakula, wale wasishibe ili mpate maarifa ya kuhangaika kutafuta zaidi na zaidi na zaidi
 
usihofu mkuu,
atapona fasta
umempa mtoto jina gani?

hongera kwa kulenga sawasawa
 
hongera sana kaka,naamini mama anaendelea vizuri na atapona siku si nyingi kwa uwezo wake yeye.ubarikiwe
 
heee a blessing in your house bro!!
hongereni sana!!!
 
Uliza gesti gani nawee

hehee labda machi machi, maana anauliza na jibu lipo wazi kabsa hata bila kusoma bandiko lote heading tu inatosha!!

Fide guest gani eti??

big huongezi na wewe??
 
Nashukuru sana wakuu kwa moyo wenu wa upendo na hekima.
Mtoto ni wa kiume "Amoeba Jr" Ningependa sana kuweka picha yake hapa, lakini ndy hivo ten niko mbali ht mimi sijamuona, hata mama yake ndy amemuona dk 20 zilizopita. Nawaahidi kuwawekea picha yake hapa mara nifikapo home! Mbarikiwe sana wakuu
 
Nawataarifu tu kwamba mama anaendelea vizuri sana, nimeongea naye muda si mrefu, Mungu anamjaalia afya njema. Ahsanteni
 
Nashukuru sana wakuu kwa moyo wenu wa upendo na hekima.
Mtoto ni wa kiume "Amoeba Jr" Ningependa sana kuweka picha yake hapa, lakini ndy hivo ten niko mbali ht mimi sijamuona, hata mama yake ndy amemuona dk 20 zilizopita. Nawaahidi kuwawekea picha yake hapa mara nifikapo home! Mbarikiwe sana wakuu
sipati picha vile uko xcited kumwona JR.!!! haya ufanye utuwekee picha ukishamuona baby boy.......

mpe pole mama Jr. n I wish her a quick recovery!!!
 
sipati picha vile uko xcited kumwona JR.!!! haya ufanye utuwekee picha ukishamuona baby boy.......

mpe pole mama Jr. n I wish her a quick recovery!!!

Niko vere eksaited sana BHT, nikifika tu nitawarushia Picha za mpiganaji mwenzangu "Amoeba Jr"
Nashukuru sana, sallam zimemfikia.
 
Hongera Amoeba kwa kupata Amoeba Jr, Mungu ashukuriwe daima, get well soon kwa mama
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom