Amnesty International: Kabendera ameonewa, hakustahili kununua uhuru wake

Kwa sasa 'Msema kweli ni mpenzi wa Shetani' Je unataka kuwa mpenzi wa shetani? sema ukweli uone!!!
 
Na ikiwa unamawazo ya kutegemea kusaidiwa utawalaumu sana kina ZZK kuwa wana wakataza WB kuwapeni msaada
Hahahaaa ukiwa na mawazo hayo, maisha yako yatabaki kusifia wengina hadi unaingia kabulini

In God we Trust
 
Awamu hii kweli inanyoosha haswa.. hata hawa bado wanyumba yumba!!!.. yupo nyumbani kwake.. wamusaidie kulipa.. wanyamaze.. walitaka awe huru na ameachiliwa muda wao walikuwa wakitamani kumutumia ili kupiga ramli zao juu ya Tanzania.. kuichafua tu nchi yetu

Siamini kuwa unaelewa ulichokiandika.
 
Mimi sitaki shobo kabisa...wakati unaanza ***** ***** wanakujaza upepo wewe.....ukiwekwa korokoroni wanandelea halafu baadae wanakutoa sadaka...mwishowe unatoka ndani ukiwa na kipilipili cha ndevu...dred...na ukitembea kizombi zombi...

Haya mambo ya artivist kwa tanzania bado...wala ctaki mbwembwe kabisa...wasaliti wapo wengi mnoo

Acha uwoga, uwoga haujawahi kumsaidia mtu hata siku moja
 
Na n
Na ikiwa unamawazo ya kutegemea kusaidiwa utawalaumu sana kina ZZK kuwa wana wakataza WB kuwapeni msaada

In God we Trust

Na ndio maana hatutakiwi kusujudu kwao kwamba bila wao sisi hatutaishi, kwani wao ndo wanatuzalisha? Kazi wanayofanya ni kutuambukiza magonjwa kisha wanakuja na gia ya kutusaidia, ilihali wai ndo chanzi cha matatizo,
 
Pohamba,
Unajua haya mashirika yanaweza kumpump ili azidi kuichukia serikali then mwisho wa kabendera waweza kuwa kifo kwa sababu hatoishi maisha yake bali ya kuambiwa na watu na akifa washikaji zake watafurahi mno hao akina amnest maana watapata misaada kibao kwa kifo chake.

Nadhani Eric be careful, achana na wajinga wajinga hao, umepatikana na hatia, lipa hizo gharama, kaa tuijenge nchi, hao amnest kama wana uchungu wakamtoe tule mwandishi wa aljazeera au wamrudishe snowden US.

Poor reasoning
 
Dawa ni kuondoa kinga marais wastaafu wawe wanashtakiwa baada ya kipindi chao cha madaraka, hii itaondoa upuuzi unaoendelea sasa hivi.
 
Mara baada ya kuachiwa huru kutoka jela mwandishi wa habari za uchunguzi Eric Kabendera baada ya kulipa faini na fidia ya jumla ya Shs 273 milioni, Mkurugenzi wa Shirika la Kutetea Haki za Binadamu kimataifa (Amnesty International) ofisi ya Afrika Mashariki na Kusini mwa Afrika Deprose Muchena ameeleza masikitiko yake juu faini ya fedha kubwa kiasi hicho.

“Wakati habari za kuachiwa kwa Kabendera zimepokelewa kwa furaha baada ya kukaa jela karibuni miezi saba, inashitusha kuona kuwa amelazimishwa kulipa kiwango kikubwa cha faini ili kupata uhuru wake, baada ya kuwa aliwekwa mahabusu kwa uonevu kwa sababu alikuwa anatumia haki yake ya uhuru wa kujieleza.

“Mama yake Kabendera alikufa wakati yeye yuko mahabusu kipindi kifupi baada ya kutoa maombi yake kwa Rais John Magufuli kupitia kituo cha televisheni kwamba amwachie huru mtoto wake.

Taarifa ya Amnesty International inasema kuwa tayari Kabendera ameteseka kwa kiasi kikubwa kwa kutekeleza wajibu wake wa Kiuandishi na alistahili kuachiwa bila masharti yoyote.

"Hakuna haki kabisa katika kile kilichofikiwa mahakamani mjini Dar es Salaam hivi leo," amesema mkurugenzi huyo.

Ameongeza : “Tanzania lazima iache kutumia vibaya sheria zinazotumika kukiuka haki za watu katika kutumia uhuru wao, uhuru wa kujelezea na kupashwa habari, kukusanyika kwa amani na kujiunga na chama wanachotaka."

Shirika hilo limesisitiza kuwa :"Ni lazima nchi ichukue ahadi hadharani kwamba itamhakikishia kila mtu ana uhuru wa kutumia haki zao zote za kibinadamu na kuacha kutumia sababu zinazochochewa na siasa kuwabana wapinzani na waandishi kama Eric Kabendera.”

Chanzo: VOA Swahili
Kwani hawa Amnest Int wameona faini ya Kabendera pekee yake? Je, hiyo faini haipo kisheria? Je, hakukiri kutenda kosa bali alikuwa ananunua uhuru wake?

Comment zingine ni za kishenzi na kipumbavu sana
 
Mmesha chelewa sana kwa hilo mkubali tu kuburuzwa na kuchezeshwa kwata na mabeberu
Na n

Na ndio maana hatutakiwi kusujudu kwao kwamba bila wao sisi hatutaishi, kwani wao ndo wanatuzalisha? Kazi wanayofanya ni kutuambukiza magonjwa kisha wanakuja na gia ya kutusaidia, ilihali wai ndo chanzi cha matatizo,

In God we Trust
 
Hata comment yako hii ni ya kipumbavu tu maana kila mtu na mtazamo wake
Kwani hawa Amnest Int wameona faini ya Kabendera pekee yake? Je, hiyo faini haipo kisheria? Je, hakukiri kutenda kosa bali alikuwa ananunua uhuru wake?

Comment zingine ni za kishenzi na kipumbavu sana

In God we Trust
 
Haya mashirika yalikuwa wapi yasipaze sauti kuwa wote..mpaka kabendera yanamkuta yote haya...kijana kaenda mzuri/HB kabisa katoka kama teja...utadhani alikuwa anakula ngada huko ndani...

Of this organisation decides to stay with you...iwe ni mwanzo mpaka mwisho...siyo kuzungumzia wakijisikia au wakipata paltform ya kujibaraguza...

Of this realy care wamlipie hiyo fine...is believe this have mpunga wa kutosha..
Ovaaaa
Zis iz ingilishi.
Bora ungeandika hata Kisukuma tu nadhani ungeeleweka vizuri..[emoji87][emoji87]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mara baada ya kuachiwa huru kutoka jela mwandishi wa habari za uchunguzi Eric Kabendera baada ya kulipa faini na fidia ya jumla ya Shs 273 milioni, Mkurugenzi wa Shirika la Kutetea Haki za Binadamu kimataifa (Amnesty International) ofisi ya Afrika Mashariki na Kusini mwa Afrika Deprose Muchena ameeleza masikitiko yake juu faini ya fedha kubwa kiasi hicho.

“Wakati habari za kuachiwa kwa Kabendera zimepokelewa kwa furaha baada ya kukaa jela karibuni miezi saba, inashitusha kuona kuwa amelazimishwa kulipa kiwango kikubwa cha faini ili kupata uhuru wake, baada ya kuwa aliwekwa mahabusu kwa uonevu kwa sababu alikuwa anatumia haki yake ya uhuru wa kujieleza.

“Mama yake Kabendera alikufa wakati yeye yuko mahabusu kipindi kifupi baada ya kutoa maombi yake kwa Rais John Magufuli kupitia kituo cha televisheni kwamba amwachie huru mtoto wake.

Taarifa ya Amnesty International inasema kuwa tayari Kabendera ameteseka kwa kiasi kikubwa kwa kutekeleza wajibu wake wa Kiuandishi na alistahili kuachiwa bila masharti yoyote.

"Hakuna haki kabisa katika kile kilichofikiwa mahakamani mjini Dar es Salaam hivi leo," amesema mkurugenzi huyo.

Ameongeza : “Tanzania lazima iache kutumia vibaya sheria zinazotumika kukiuka haki za watu katika kutumia uhuru wao, uhuru wa kujelezea na kupashwa habari, kukusanyika kwa amani na kujiunga na chama wanachotaka."

Shirika hilo limesisitiza kuwa :"Ni lazima nchi ichukue ahadi hadharani kwamba itamhakikishia kila mtu ana uhuru wa kutumia haki zao zote za kibinadamu na kuacha kutumia sababu zinazochochewa na siasa kuwabana wapinzani na waandishi kama Eric Kabendera.”

Chanzo: VOA Swahili
Nakala imfikie Mnafiki Pascal Mayalla popote alipo
 
SWALI NI MOJA KWANI KALAZIMISHWA AU KAJIIYARI MWENYEWE, NAAMINI KAMA ANGEAMINI HAKUWA NA HATIA ASINGEKUBALI KULIPA HIYO FAINI
 
Mimi sitaki shobo kabisa...wakati unaanza ***** ***** wanakujaza upepo wewe.....ukiwekwa korokoroni wanandelea halafu baadae wanakutoa sadaka...mwishowe unatoka ndani ukiwa na kipilipili cha ndevu...dred...na ukitembea kizombi zombi...

Haya mambo ya artivist kwa tanzania bado...wala ctaki mbwembwe kabisa...wasaliti wapo wengi mnoo
😀😆huenda pia hao hao waliokujaza upepo wanakuwa wanaigiza unavotembea wanacheka
 
Sasa hivi unabambikiwa kesi,wanakutesa na
Influenza,
Sasa hivi unabambikiwa kesi,unateswa na kufilisiwa ndiyo utoke.Amehujumu nini,amkwepa kodi kiasi gani,alikuwa anafanya biashara gani huyo Kabendera?Mbona sielewi hii hukumu ya faini ya mania ya mamilioni ni halali kisheria?Au tunaongeza mapato kupitia hizi kesi?
 
Back
Top Bottom