Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,702
- 27,205
Ndio hapo sasa,kabambikiziwa tu kumkomoa kwa ukisoaji wake wa sera za kiuchumi za Jiwe!Jiulize kama aliongoza hilo genge kwa nini akamatwe yeye mwenyewe asikamatwe na hao wahalifu
Ndio hapo sasa,kabambikiziwa tu kumkomoa kwa ukisoaji wake wa sera za kiuchumi za Jiwe!Jiulize kama aliongoza hilo genge kwa nini akamatwe yeye mwenyewe asikamatwe na hao wahalifu
Ndio kama hivyo,kwa akili yako unadhani wale walioandika barua kukiri makosa kwa maelekezo ya Rais wote wana hatia?Nakuambia kuna wengine wangekomaa wangeshinda kesi,ila kwakuwa wameshasota sana magerezani wanaona ni bora wakiri walipe yaishe!Tumeona kwa Manji!!Utanunuaje uhuru wako ?,poor defencing
Hizi kesi za uhujumu uchumi huwa zinabagua hazimkuti aliye na chapa bali walio kinyume waliogoma kuusujudia msalaba, huwezi sikia bashite,sabaya,mnyeti hata kama ushahidi upo macho ufumbwa.Shida ni mfumo wa kijamaa ndio unampa mtawala mamlaka kuu zaidi ya Mungu na kuwa juu ya sheria. Angalia nchi ndogo kama Malawi,Liberia mahakama ziko huru,polisi wa kule huwezi kuta wanakibeba chama fulani wao huwa wako neutral uacha vyama kunyukana,tume zao ziko huru haziwachagulii wananchi wawakilishi wao. atakaeshindaMahakama inaendeshwa na jiwe, hakimu waone aibu taaluma yao yote wameweka pembeni wanafata mawazo ya mtu moja, shenzi kabisa, ndiyo sababu nchi haiendelei, unakuta mtu kasomea nje kabisa exposure yote anayo ila anarudi bongo anapokea maagizo toka juu anafata kama yanavyosema hata kama anajua si sahihi.
Bonge la failure, wasomi wa tanzania wanasikitisha sana.
Kesi za kuhujumu uchumi zimekua nyingi siku hizi na mtu anazungushwa mwaka mzima kila siku unasikia tumeahirisha kwa kukosa ushahidi, bado wanaufanyia kazi, sasa ushahidi hakuna unamuweka mtu ndani mwaka mzima, kwa nini usipate ushahidi kwanza ndiyo ufungue kesi? Wamegeuza watanzania watoto wadogo wanacheka tu, jiwe kalio kabisa na crew yake nzima, wote makalio tu.
Ndio kama hivyo,kwa akili yako unadhani wale walioandika barua kukiri makosa kwa maelekezo ya Rais wote wana hatia?Nakuambia kuna wengine wangekomaa wangeshinda kesi,ila kwakuwa wameshasota sana magerezani wanaona ni bora wakiri walipe yaishe!Tumeona kwa Manji!!
Itakuwa mmeumia sana kuona jamaa kaachiwa!Mabeberu sio watu wa mchezo mchezo!Picha limeisha kama hivyo!Kukiri ukijua huna hatia ni upumbavu tu
Vp naye yule ninja mliyemtuhumu amehujumu uchumi tena kwa kiasi Kikubwa mbn mpaka Sasa hamjamuweka nyuma ya nondo, au ndy kesi yake Ina mupe muruke styleAwamu hii kweli inanyoosha haswa.. hata hawa bado wanyumba yumba!!!.. yupo nyumbani kwake.. wamusaidie kulipa.. wanyamaze.. walitaka awe huru na ameachiliwa muda wao walikuwa wakitamani kumutumia ili kupiga ramli zao juu ya Tanzania.. kuichafua tu nchi yetu
Kwa taarifa yako ruge amekuwa imara zaidi jela imemjengaa na amekuwa siyo muogaaaKi
Kibongo bongo ukitoka ndani kwa hilo unayokuwa nayo tu inabidi familia ikupeleke kwe rehabilitaion centre...hebu mcheki anko ruge..sethi...wapo kama wamedata sasa hivi..
Jela ya bongo siyo ni sehemu hatari sana kuishi...
OVAAA
Ninja hawezi kwenda sababu amepigwa chapa,kule ni kwa wasio na chapaKwa taarifa yako ruge amekuwa imara zaidi jela imemjengaa na amekuwa siyo muogaaa
Ngoja itoke huyo sjui ninja apelekwe huko utaona akatavyokuwa
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti ruge anasema ruge yuko yuko kama kichaaKijana naona unamkufuru mungu, jitahidi kuwa muoga kwa mungu maana jera haikujengwa kwa watu fulani tu maana hata wewe ni mfungwa mtarajiwa. KITAULO,
In God we Trust
Kaachiwa kwa shinikizo la mabeberu kumnyima misaada, misaada inahitajika ili kukamilisha miradi ya sifa sasa hapa unapima kati ya sifa na kumshikilia mtu chenye wepesi unaamuaItakuwa mmeumia sana kuona jamaa kaachiwa!Mabeberu sio watu wa mchezo mchezo!Picha limeisha kama hivyo!
Ruge mwenyew hko jela yupo katoaa sana msaada wa kisheria wa watu waliyopo mahabusuLakini kuna wengi wanatengeneza utajiri kule wala awataki kutoka ,usiyoyajua usiku wa giza
Saudia aikugusa maslai ya USA, kagame,m7 na udikteta wao wote lkn awagusi maslai ya USA ndio ponapona yao wanadunda hadi kesho na si kwamba wana intelligence imara au wana ulinzi.Dikteta yeyeto ili adumu miaka mia madarakani inatakiwa acheze na principal mbili moja usiguse maslai ya USA pili usisomeshe namba watu wako.Ukiwasomesha namba watashirikiana na maadui zako kukumalizia ndicho kilichowakuta Saddam na Ghadafi wangecheza na principal mbili hizo wangedumu hadi keshojd41,
Alipouliwa kashogi ni hatua gani zilichukuliwa, au kashogi ilikuwa ni haki yake kufa? Na mpaka sasa wako kimya, na malekani wakasema mtu mmoja awezi kuhakibu masirahi yao na saudia, je hapo ni sawa?
Ruge na Seth walisema hawatomsujudia kiumbe yeyeto aliyezaliwa na mwanamke ambae nae ufa kama wengine, wamegomea msamaha lengo la msamaha lilikuwa wao,wanaume wamekomaa jela ni paradiso ukiwa na pesa.Ukiwa na pesa jela na hospital wafanyakazi wake awapendi upone haraka au utoke haraka maana we we ni fursa kwao.Ruge mwenyew hko jela yupo katoaa sana msaada wa kisheria wa watu waliyopo mahabusu
Na yuko imara.....
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Jela nako maisha yanaendelea utakaa at the end utatoka ni sehemu ya maisha pia.Ruge mwenyew hko jela yupo katoaa sana msaada wa kisheria wa watu waliyopo mahabusu
Na yuko imara.....
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Unazungumza utumbo sababu hayajakupata ngoja ndugu yako au jamaa yako atekwe ateswe alawitiwe kisha atundikwe mtini ndo uje useme hivo.Nyie ndie warundi wenyewe mliojifichia ccm hamna roho za kitzWatu wangapi wewe,sisi tuna pick only one as an example dheni wapuuzi wengine wanarudi nyuma
Sent using Jamii Forums mobile app
Usijilinganishe kamwe na mfadhili wako maana kakuzidi kila kitu na bila yeye wewe huwezi kuishi hata kwa mwezi
In God we Trust
Mabeberu ni oxygenHahahaaa ukiwa na mawazo hayo, maisha yako yatabaki kusifia wengina hadi unaingia kabulini