Amnesty International: Kabendera ameonewa, hakustahili kununua uhuru wake

Amnesty International: Kabendera ameonewa, hakustahili kununua uhuru wake

wewe, ilikuwa ni kutoa cash kwanza ndo atokee, ila inaonekana kabendera ana hela sana, inawezekana alikuwa analipwa vizur sana na hao mabeberu.
"Alikwekwa mahabusu kwa uonevu kwa sababu alikuwa anatumia haki yake ya uhuru wa kujieleza"

Hiyo nukuu hapo juu inaonesha kumbe ulimwengu mzima unajua Kabendera hakukamatwa kwa sababu ya Uhujumu Uchumi, ni zile makala kule kwenye gazeti la mabeberu zilizosababisha akakamatwa, na ninaamini hizo pesa hajalipa, na wala hatalipa, sababu ni hukumu ya uongo iliyotengenezwa ili kumtoa gerezani.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jd41,
Alipouliwa kashogi ni hatua gani zilichukuliwa, au kashogi ilikuwa ni haki yake kufa? Na mpaka sasa wako kimya, na malekani wakasema mtu mmoja awezi kuhakibu masirahi yao na saudia, je hapo ni sawa?
 
Kesaboso,
Unadhani kesi ingekuwa na dhamana angenunua uhuru wake?Shida ni kwamba DPP anaweza kuizungusha kesi hata miaka 7 kwa kisingizio upelelezi haujakamilika!

Udhaifu wa kisheria ndio unatumika kuwakandamiza walio mlengo tofauti na serikali!Nadhani ni wakati wa kubadilisha sheria,ikiwezekana wanaoshinda hizi kesi walipwe fidia kwa muda walioupoteza wakiwa ndani au dhamana iwepo!
 
Kama wapi ndugu, wanaomtaka snowden wamfunge au?
Usijilinganishe kamwe na mfadhili wako maana kakuzidi kila kitu na bila yeye wewe huwezi kuishi hata kwa mwezi

In God we Trust
 
Waandishi kuweni makini sana ile statement ya kule magogoni msiisahau kuwa hampo huru kiasi hiko. Utawala wa shetani uko kazini na kichaa hana haya. Mnachoweza kufanya ni kuomba akutwe na mabaya tu.
 
Nzige tupu
Kwa hiyo Amnesty wanapingana na Kabendera aliye kiri makosa? Mbona akiwa lupango hawakusema haya?

Kati ya watu Kabendera anatakiwa kuwa nao ni Zitto na wana harakati wengine

In God we Trust
 
Hawa Amnesty international mbona hawaongelei kuhusu Assange, Snowden na Yule Mwandishi wa Egypt? Hata hiyo serikali ya kijeshi ya El Masri?

Au sera za nchi husika zikiwa tofauti na za wafadhili aka mabeberu ndio filimbi zinakuwa nyingi na kuna wenzetu wanakubali kutumika ili mradi mikono yao inaenda kinywani
 
Amnesty ni vibaka kama vibaka wengine tu ,waweke hadharani proof ya kabendera kulazimishwa kununua uhuru wake.

Au ndio zile porojo za Zitto kwa kimombo kwenye twitter account yake?,wamekopi na kupest?
 
Habar za kudhan kila anayetoa MAONI KATUMWA NI ZA KIPUUZI SANA. Habar kwamba kinachoripotiwa toka tanzania ni za kuchafua nchi ni sawa na ushirikina?

Hivi kuna jambo lililochafua nchi zaidi YA KUUZA NYUMBA ZA UMMA KWA MAHARA NA NDUGU? Kuna jambo lilichafua nchi kama kumfukuza kazi CAG kisa unaandika na kureport anachokiona?

Kwenye nchi ambayo ina bunge mtu mmoja anapanga yye kila kitu mf. Anajenga airport kwao kwa kutumia kampuni za jamaa zake kama alivyokuwa alofanya akiwa ujenzi.

Mmekalia unafiki tu kuna nchi gani ya kuchafuliwa hapa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amepatikana na hatia kwa kesi iliyosikilizwa wapi
Unajua haya mashirika yanaweza kumpump ili azidi kuichukia serikali then mwisho wa kabendera waweza kuwa kifo kwa sababu hatoishi maisha yake bali ya kuambiwa na watu na akifa washikaji zake watafurahi mno hao akina amnest maana watapata misaada kibao kwa kifo chake. Nadhani Eric be careful, achana na wajinga wajinga hao, umepatikana na hatia, lipa hizo gharama, kaa tuijenge nchi, hao amnest kama wana uchungu wakamtoe tule mwandishi wa aljazeera au wamrudishe snowden US.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jiulize kama aliongoza hilo genge kwa nini akamatwe yeye mwenyewe asikamatwe na hao wahalifu
Hilo shtaka la kuendesha genge la uhalifu wamelitoa wapi?Hilo genge ambalo alikuwa analiongoza liko wapi?Mambo ya kubambikiziana kesi haya!
 
Kwanini na yeye akiri makosa ambayo hakufanya?
Amenunua uhuru wake!Wewe ungefanyeje?Ukipewa option uchague ukae ndani mpaka kesi iishe au ukiri uachiwe huru?Kesi yenyewe inaweza kwenda mpaka unafia gerezani uchunguzi haujakamilika!Kama kesi yake ingekuwa na dhamana,asingekubali kukiri!Hata mimi ningefanya hivyo!
 
Utanunuaje uhuru wako ?,poor defencing
Amenunua uhuru wake!Wewe ungefanyeje?Ukipewa option uchague ukae ndani mpaka kesi iishe au ukiri uachiwe huru?Kesi yenyewe inaweza kwenda mpaka unafia gerezani uchunguzi haujakamilika!Kama kesi yake ingekuwa na dhamana,asingekubali kukiri!Hata mimi ningefanya hivyo!
 
Huyo Mkurugenzi anashangaa ya Kabendera wakati uamuzi sasa ni kuturudisha utawala wa chama kimoja...yaani tunarudi miaka 50 nyuma na mizuzu inashangilia.
 
Utumbo huu umevunda, hata mbwa hawezi kuula, ni wa kufukiwa tu ardhini kusudi hali ya hewa iwe shwari.
Mimi sitaki shobo kabisa...wakati unaanza ***** ***** wanakujaza upepo wewe.....ukiwekwa korokoroni wanandelea halafu baadae wanakutoa sadaka...mwishowe unatoka ndani ukiwa na kipilipili cha ndevu...dred...na ukitembea kizombi zombi...

Haya mambo ya artivist kwa tanzania bado...wala ctaki mbwembwe kabisa...wasaliti wapo wengi mnoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom