amkubali mtoo au mwnamke?

kamti

New Member
Jul 14, 2010
1
0
kuna my friend alikuwa na Girl friend wake.siku moja dem akamsaliti msela na jamaa mwingine ..jamaa akapeleleza akagundu na wakati huo dem alikua na mimba na akawa ameambia wote kuwa mtoto ni wao .jamaa wakakutana kila mmoja anasema ameambiwa kuwa mtoto ni wake na mpaka leo dem hajasema .na wote hawa jamaa ni maji ya kunde na dem mweupe na mtoto ni mweupe then jamaa anashindwa afanye maamuzi gani? kwenda kupima DNA dem hataki anasema asiyeamini amuachie mtoto wake.... wadau tuwasaidiajE?
 
Hamna cha kumsadia . Kwa nini alipiga bila kondom. He is stupid tell him.
 
kama demu ana jeuri kiasi hicho ina maana ni mtu mwenye nazo, so aachane naye mtoto akikuwa atamtafuta babayake, damu nzito bana!
 
kwanza huyo hata sio mke wa kuoa uweke ndani, anaweza kuletea men huko huko ndani, hatariiii!!!
 
sio lazima kupima DNA,baada ya muda kupita atajulikana ni nani alipiga bao na ni nani alitoa pasi ya mwisho iliozaa bao. KUNA UWEZEKANO MTOTO AKAFANANA NA BABA YAKE HALISI.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom