Naunga mkono hoja. Alishasema kwa kinywa chake mwenyewe kuwa yeye ni shushushu ie usalama wa taifa na ile kazi huwa haiachwi, ni ya maisha, hawafukuzwi.
Habari wana jf....
Napenda kuwajuza kuwa kuwepo kwa mtu huyu ndani ya cdm ni hatari sana hata akifukuzwa leo cdm wamechelewa sana.
Marando alikuwa mshauri mkuu ikulu enzi za Mwl. Nyerere na anazijua siri kubwa za ukomboz kusini mwa Africa.
Wengi mkitizama umri wake mnaweza kuuliza au kupinga hoja yangu lakn mm nafahamu kinachoendelea...
Mabere ki umri ni mkubwa sana kuliko mdhanivo.
Nasema huyu ndo mbaya wa cdm...
Nawasilisha.
Ana hamu ya kupost hapa jamvini.unadhani wewe umewazidi ujuzi wa mambo watu wote pale cdm?mpaka wewe ukaliona ilo na wao wote wakawa awalijui? ni mtazamo wangu tu lakini
Habari wana jf....
Napenda kuwajuza kuwa kuwepo kwa mtu huyu ndani ya cdm ni hatari sana hata akifukuzwa leo cdm wamechelewa sana.
Marando alikuwa mshauri mkuu ikulu enzi za Mwl. Nyerere na anazijua siri kubwa za ukomboz kusini mwa Africa.
Wengi mkitizama umri wake mnaweza kuuliza au kupinga hoja yangu lakn mm nafahamu kinachoendelea...
Mabere ki umri ni mkubwa sana kuliko mdhanivo.
Nasema huyu ndo mbaya wa cdm...
Nawasilisha.
kk ss wenye maono hutukanwa sana...... malando anatumika kimkakati tena vizuri sana.... ngoja utaona mbeleni... jiulize kwann tundu apewe mwanasheria mkuu mabere apigwe doro?niliposti hoja ya Zitto kuwa simtumzuri chadema na anatumika kuibomoa chadema.watu waliporomosha mitusi mpaka basi.sasa leo yako wapi.
Abari sho lamla.Mimi binafsi simwamini Marando ila sina ushahidi wa kumtia hatiani, pengine ndiye M2.
Amini usiamini YEYE MBUSHI ndio anaibomoa chadema! wewe ndio unataka kubomao chama kwa uchochezi wako usio na mantiki. Umetoa maelezo yasiyokuwa na ushahidi wowote km back up. Ni siri gani unayoijua autufahamishe basi. Otherwise wewe ndio unajaribu kuibomoa chadema lakini umeshafeli kabla hujaanza.
Habari wana jf....
Napenda kuwajuza kuwa kuwepo kwa mtu huyu ndani ya cdm ni hatari sana hata akifukuzwa leo cdm wamechelewa sana.
Marando alikuwa mshauri mkuu ikulu enzi za Mwl. Nyerere na anazijua siri kubwa za ukomboz kusini mwa Africa.
Wengi mkitizama umri wake mnaweza kuuliza au kupinga hoja yangu lakn mm nafahamu kinachoendelea...
Mabere ki umri ni mkubwa sana kuliko mdhanivo.
Nasema huyu ndo mbaya wa cdm...
Nawasilisha.
Abari sho lamla.