Amini usiamini ,ipo,imetokea au imefanyika

Amini usiamini ,ipo,imetokea au imefanyika

Mwiba

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
7,607
Reaction score
1,764
selection_86_21.jpg

Mtajiju ,e ndo mana yake ,unaniangalia mimi ?
 
kwa maoni yangu wakuu mi naona hizo ni zawadi zimepeanwa kwa ma harusi ikiwemo hako ka mbwa.ama ni macho yangu tu?hahaha.
 
Inategemea, maana watu wengine Mbwa ni Paka na Paka ni mbwa!!!

Tehetehee!
 
Hizi picha jamaa anatutega kutaka kujua ni vipi mtu unaweza kutafsiri image/picture.

Hiyo picha ya kwanza ni kwamba kwenye nyakati za Chrismas watu huweka zawadi chini ya mti, hivyo na mbwa naye anaweka zawadi yake. Loooh!...
 
Back
Top Bottom