Amini usiamini, CCM ina jukumu la kutupatia Rais bora mwaka 2015...

Mada ya kipuumbavu kabisa.

Ya kwako iliyofurika busara iko wapi? Haya mapovu yatakuumbua mwaka 2015.........................ndipo utajifunza kuwa wako wenye kiona mbali.............
 
Waiting for that list...
Wote ni mashahidi hapa kuwa utendaji uliishia kwa Lowassa, siku hizi dawa ya changamoto sio kutatua changamoto ila ni kumbana mtoa changamoto..
Na siasa kibao kwenye mambo yasiohitaji siasa...

Umekwepa khoja kiana-aina hivi, Loh!
 
Inashangaza sana kuona katika nchi bado kuna watu wanaamini kuwa bado ccm kuna mtu anaweza kuinusuru nchi hii. Kwa sera zipi? Kwa usafi upi? Hitimisho ni kwamba Wote wanaoiona ccm bado inachochote inachoweza kufanya wananufaika na mfumo huu wa kifisadi.

Siyo kweli kuwa tunanufaika na ufisadi. Binafsi sitoi wala sipokei rushwa lakini naangalia mwelekeo wa Chadema naona hakuna matumaini kwani hulka zote za ubinafsi tunazoziona ndani ya CCM zimefurika ndani ya Chadema. Sioni kama Chadema kwa wakati huu ni chama cha kutumainiwa kutuondoa hapa tulipokwama labda wafanye marekebisho makubwa sana ambayo wanayaita uhaini.
 
Nakubaliana na ww 100% kwa masikitiko makubwa, tumaini nililokuwa nalo kwa chama changu nilichokijenga kwa jasho langu, sio siri inaniuma maana sioni mwanga huko mbele. pili ubinafsi unakiua chama hata wanaochangia humu JF wengi ni wabinafsi sana. inawezekana tunafikiri tunajenga chama kwa ubinafsi wetu, Kwetu kuna msemo unasema "NATABASE AGAYA" ( maana yake hata ambaye hawezi/hana uwezo huzarau). kwa machungu kabisa nawaomba CCM waturetee Rais atakayetupungunzia machungu anagalau kidogo kwa miaka mingine mitano ijayo huku kwetu kwetu chadema safari ya magogoni imegeuka na sasa tunaelekea chalinze. ubinafsi, ubinafsi,ubinafsi, ubinafsi tuache haya mambo tuandae chama kwa 2020. kama hauamini subiri matokeo 2015. kwa kukijenga chama kwa miaka ijayo lazima tutafute chanzo cha ubinafsi huu.
 
Kwa hali ilivyo hivi sasa, upepo wa kisiasa na watu waliopo tunaowaona, kiongozi mwenye sifa bora za kiutendaji, maadili, uaminifu na uchapakazi kwa level ya urais lazima atatoka ccm. Vyama vya upinzani bado vina mbwerambwera tu. hakuna mtu smart to that level. Nawashauri wapinzani wajipange kuongeza wabunge na madiwani ila waachane kabisa na mdoto za urais. Watapoteza muda.
 
Hii ndivyo ilivyo upinzani hakuna Rais kule kunawazee waliokosa busara na vijana wahuni tu.
 
Siyo kweli kuwa tunanufaika na ufisadi. Binafsi sitoi wala sipokei rushwa lakini naangalia mwelekeo wa Chadema naona hakuna matumaini kwani hulka zote za ubinafsi tunazoziona ndani ya CCM zimefurika ndani ya Chadema. Sioni kama Chadema kwa wakati huu ni chama cha kutumainiwa kutuondoa hapa tulipokwama labda wafanye marekebisho makubwa sana ambayo wanayaita uhaini.

Nakubaliana na ww 100% kwa masikitiko makubwa, tumaini nililokuwa nalo kwa chama changu nilichokijenga kwa jasho langu, sio siri inaniuma maana sioni mwanga huko mbele. pili ubinafsi unakiua chama hata wanaochangia humu JF wengi ni wabinafsi sana. inawezekana tunafikiri tunajenga chama kwa ubinafsi wetu, Kwetu kuna msemo unasema "NATABASE AGAYA" ( maana yake hata ambaye hawezi/hana uwezo huzarau). kwa machungu kabisa nawaomba CCM waturetee Rais atakayetupungunzia machungu anagalau kidogo kwa miaka mingine mitano ijayo huku kwetu kwetu chadema safari ya magogoni imegeuka na sasa tunaelekea chalinze. ubinafsi, ubinafsi,ubinafsi, ubinafsi tuache haya mambo tuandae chama kwa 2020. kama hauamini subiri matokeo 2015. kwa kukijenga chama kwa miaka ijayo lazima tutafute chanzo cha ubinafsi huu.

Uchaguzi wa cdm ni walewale. Hakuna jipya!
 
Back
Top Bottom