Amini una akili yenye uwezo mkubwa wa kubuni wazo la kuweza kukusaidia kufanikiwa kimaisha

Buji umeniaibisha sana, wabongo hawataki madini ya aina hii wanataka ubuyu na udaku, je hukujua? Ona uzi una muda mrefu na ³hauna hata comments 20
Hakika ndugu yangu wakati nasoma uzi huu nikajua umepostiwa labda nusu saa iliyopita kumbe ni wa mwaka 2021 lakini comment zake ndio tupo ya 21

Ila uzi kama mtu anaomba ushauri wa kumuacha mume ndani ya saa 2 unacomment 700,
Mtu anaomba ushauri mke wake kazaa nje ya ndoa ndani ya saa 7 una comment 800!

Lakini uzi kama huu ambao kwa kiasi chake unaweza kumpa mtu mwamko mpya wa kifikra na kuleta matokeo chanya kwa mtu binafsi familia na taifa pengine na dunia kwa ujumla uko na mwako mmoja karibuni lakini mapokeo ni duni sana.

Hii maana yake nini, ni kwamba tunaweza kuendelea kuwa maskini wakati wote.
 
Kwa mtazamo wangu kamwe huwa sijali wanasiasa wanasema nini kuhusu kufanikiwa kwangu, nikiamua nimeamua. Maana wanasiasa wana vikwazo vingi sana kukwamisha ubunifu. Mathalani kwenye masuala ya elimu na afya
 
Back
Top Bottom