Amini Nawaambieni , Pamoja na Mapungufu Yake Yote ya Kibinadamu, Mtu Huyu Ana Mungu Ndani Yake!, Anaongozwa na Roho wa Mungu!. Mshuhudie Hapa!.

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
57,101
Reaction score
128,716
Wanabodi

Kwa kadri siku zinavyozidi kwenda, ndivyo ninavyozidi kumkubali mtu huyu, amenyooka kama reli!, hakika mtu huyu ana roho wa Mungu ndani yake!, mtu bila kuwa na roho wa Mungu, bila kuongozwa na Roho Mtakatifu, huwezi kumpa makavu live tena bila kupapasa, kwanza kumtambulisha mbunge, kumsimamisha, na kumzodoa kwa kumpa makavu live, Mbunge wa Arusha mjini Mhe. Mrisho Gambo, bila kuwa na roho wa Mungu, na kuongozwa na Roho Mtakatifu, mtu wa kawaida hawezi kuwa na uthubutu wa kiwango hiki!

Hebu shuhudia
View: https://youtu.be/1walmFdwUDc?si=HOoYlcoc-KHedlcG

Ili kumjua mtu mwenye Roho wa Mungu, na kitu anachozungumza ni inspired na Roho Mtakatifu, lazima na wewe uwe na jicho la tatu, jicho la ndani na sikio la ndani kuisikia sauti ya Mungu aliye hai!.

Kama wewe ni mtu wa kawaida, ukimsikia Makonda hicho alichoongea hapo kumwambia Gambo, utakiona ni kitu cha kawaida, lakini kwa sisi tuliojaaliwa jicho la tatu na sikio la roho, hapo Makonda alikuwa ana kemea!.

Watu wanye jicho la tatu na sikio la roho wana uwezo wa kujua hicho alichokisema Makonda ni chake au ni Mungu amekisema kupitia kwa Makonda, na wakati anatamka hayo, alikuwa invoked na Roho Mtakatifu!.

Mrisho Gambo kama ana Roho wa Mungu, jana atakuwa hakulala usiku kucha akitafakazi ataanzia wapi kuomba radhi wale wote aliowafitini, kuwazishia, kuwachonganisha na kuwasingizia uongo!.

Viongozi wenye guts za kuusema ukweli no matter what, wanahesabika, Paul Makonda ni mmoja wao.

Hawa ni viongozi wenye uthubutu, hawaogopi mtu yoyote, na ukiwa ni kiongozi wa kupinda pinda, Konda Boy ananyoosha!, huyu ni typical Magufuli type, hakopeshi!.

Nashauri kama hata ogopa kurudia kosa la kuachia u RC na kuusaka ubunge kama 2020, then tunamuomba Mama, atuondolee huyu aliyepo sasa na kuturudishia huyu kichaa wetu jijini DSM, ni jiji la vichaa, linamuhitaji kochaa wa type ya Konda Boy aendelee kulinyorosha hili jiji.

Hitimisho
Amini nawaambia , pamoja na mapungufu yake yote ya kibinadamu, kama mwanadamu hakuna mkamilifu, mtu huyu ana Mungu ndani yake!, na anaongozwa na Roho wa Mungu!, Roho Mtakatifu, viongozi wa aina hii, ndio watalikomboa taifa letu!.

Kwa vile ana roho wa Mungu na anaongozwa na Roho Mtakatifu, akiisikia sauti ya kuwatumikia wana Arusha mjini kama Mbunge wao, aitike tuu wito au jimbo lingine lolote, aingie Bungeni, apewe key portfolio ili mwisho wa siku Mapenzi ya Bwana juu yake yatimie.

Mungu Mbariki Paul Makonda
Mungu Ibariki Tanzania.

Paskali.

Rejea za mtoa mada kuhusu Paul Makonda
  1. Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam
  2. Nikimwangalia Makonda, mambo anayoyafanya namuona kama Magufuli
  3. Bado kuna ubishi kuwa hiki ni chuma? Je, chuma hiki ni chuma kingine ila ni kama kile au chuma hiki ni kile kile kimerejea kivingine?
  4. Mafanikio ya Makonda ni Uthibitisho Wa Jiwe walilolikataa Waashi litafanywa kuwa Jiwe Kuu la Pembeni
  5. Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!
  6. Madawa ya Kulevya: Kumbe Makonda Alizuiwa Kutaja Majina!. Anaamini Uwazi, Atunge By-Law Ataje Majina
  7. Wale mnaosubiri kwa hamu Makonda atumbuliwe, mtasubiri sana!. Ukiwa ni mpakwa mafuta, ni mpakwa mafuta!
  8. Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho dhidi ya mafanikio yake! Makonda wapuuze
  9. Pascal Mayalla ampongeza Makonda kuteuliwa mwenezi NEC taifa. Ampigia simu kumpongeza
  10. Ndugu, jamaa na marafiki njooni tumtetee Makonda dhidi ya mapapa wauza unga wanaomzushia
  11. Pongezi Paul Makonda kuifufua CCM kwa amsha amsha. Twende mdogomdogo ngoma ikivuma sana inakaribia kupasuka!
  12. Makonda, only the truth will set you free!
  13. Je, wajua Rais aweza kuteua yeyote hata darasa la saba?. Teuzi hizi hazihojiwi popote na yeyote!
  14. Kutoa siri za Nchi nje ya Nchi ni Uhaini. Maofisa Hawa Wametoa Siri, Wakamatwe, Washitakiwe!
  15. Heko Rais Magufuli kwa msimamo thabiti. Shikilia hapo hapo. Kelele za Mlango Zisikukoseshe Usingizi!
  16. Je, Tanzania tunahitaji viongozi gani?. wajinga wachapakazi, au mangi meza wenye vyeti?.
 
Wanabodi

Kwa kadri siku zinavyozidi kwenda, ndivyo ninavyozidi kumkubali mtu huyu, amenyooka kama reli!, hakika mtu huyu ana roho wa Mungu ndani yake!, mtu bila kuwa na roho wa Mungu, bila kuongozwa na Roho Mtakatifu, huwezi kumpa makavu live tena bila kupapasa, kwanza kumtambulisha mbunge, kumsimamisha, na kumzodoa kwa kumpa makavu live, Mbunge wa Arusha mjini Mhe. Mrisho Gambo.

Hebu shuhudia
View: https://youtu.be/1walmFdwUDc?si=HOoYlcoc-KHedlcG

Viongozi wenye guts za kuusema ukweli no matter what, wanahesabika, Paul Makonda ni mmoja wao.

Hawa ni viongozi wenye uthubutu, hawaogopi mtu yoyote, na ukiwa ni kiongozi wa kupinda pinda, Konda Boy ananyoosha!, huyu ni typical Magufuli type, hakopeshi!.

Nashauri kama hata ogopa kurudia kosa la kuachia u RC na kuusaka ubunge kama 2020, then tunamuomba Mama, atuondolee hiki kituko kilichopo na kuturudishia huyu kichaa wetu jijini DSM, aendelee kulinyorosha hili jiji.

Hitimisho
Amini nawaambia , pamoja na mapungufu yake yote ya kibinadamu, kama mwanadamu hakuna mkamilifu, mtu huyu ana Mungu ndani yake!, na anaongozwa na Roho wa Mungu!, Roho Mtakatifu, viongozi wa aina hii, ndio watalikomboa taifa letu!.

Kwa vile ana roho wa Mungu na anaongozwa na Roho Mtakatifu, akiisikia sauti ya kuwatumikia wana Arusha mjini kama Mbunge wao, aitike tuu wito au jimbo lingine lolote, aingie Bungeni, apewe key portfolio ili mwisho wa siku Mapenzi ya Bwana juu yake yatimie.

Mungu Mbariki Paul Makonda
Mungu Ibariki Tanzania.

Paskali.

Rejea za mtoa mada kuhusu Paul Makonda
  1. Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam
  2. Nikimwangalia Makonda, mambo anayoyafanya namuona kama Magufuli

Takataka hiyo .niishie hapo
 
Si busara kutumia lugha kama "kituko cha Dar es salaam" kumuaddress kiongozi mkuu ndani ya mkoa unaoishi.
Pascal Mayalla huyu ni wewe kweli?
Umeacha hoja na kuanza kudhihaki??...withdraw hilo andishi kwa heshima.
I wish ungepewa U-R.C wa Dar kwa saa 24 hivi ujionee na heka heka zake.
 
Umeacha hoja na kuanza kudhihaki??...withdraw hilo andishi kwa heshima
Huyu chalamila ni zaidi ya kituko,
Huyu ni kichaa aliyelaaniwa kwa damu ya mtu ambaye alimuuwa.
Makonda ni mwendawazimu ambaye hafahi kabisa kuwa kiongozi
 
Makonda kwa macho anaonekana kilaza, ila jamaa anaweza sana.
 
Si busara kutumia lugha kama "kituko cha Dar es salaam" kumuaddress kiongozi mkuu ndani ya mkoa unaoishi.
Pascal Mayalla huyu ni wewe kweli?
Umeacha hoja na kuanza kudhihaki??...withdraw hilo andishi kwa heshima.
I wish ungepewa U-R.C wa Dar kwa saa 24 hivi ujionee na heka heka zake.
Tatizo hawatoi Nuru ya kuheshimika mkuu...yaan ni ngumu sana
 
Tanzania ni nchi ya ajabu sana... Wauaji, wadhalilishaji, matapeli, wezi na mafisadi wanaonekana bora na majina yao kuombwa huku wasemaji ukweli na walionyooka wakipuuzwa!
Bashite kama Sabaya hawasafishiki! Uovu wao utawafuata hadi kizazi cha saba!
Kama nawahukumu vibaya na mimi nihukumiwe!
 
Wanabodi

Kwa kadri siku zinavyozidi kwenda, ndivyo ninavyozidi kumkubali mtu huyu, amenyooka kama reli!, hakika mtu huyu ana roho wa Mungu ndani yake!, mtu bila kuwa na roho wa Mungu, bila kuongozwa na Roho Mtakatifu, huwezi kumpa makavu live tena bila kupapasa, kwanza kumtambulisha mbunge, kumsimamisha, na kumzodoa kwa kumpa makavu live, Mbunge wa Arusha mjini Mhe. Mrisho Gambo.

Hebu shuhudia
View: https://youtu.be/1walmFdwUDc?si=HOoYlcoc-KHedlcG

Viongozi wenye guts za kuusema ukweli no matter what, wanahesabika, Paul Makonda ni mmoja wao.

Hawa ni viongozi wenye uthubutu, hawaogopi mtu yoyote, na ukiwa ni kiongozi wa kupinda pinda, Konda Boy ananyoosha!, huyu ni typical Magufuli type, hakopeshi!.

Nashauri kama hata ogopa kurudia kosa la kuachia u RC na kuusaka ubunge kama 2020, then tunamuomba Mama, atuondolee hiki kituko kilichopo na kuturudishia huyu kichaa wetu jijini DSM, aendelee kulinyorosha hili jiji.

Hitimisho
Amini nawaambia , pamoja na mapungufu yake yote ya kibinadamu, kama mwanadamu hakuna mkamilifu, mtu huyu ana Mungu ndani yake!, na anaongozwa na Roho wa Mungu!, Roho Mtakatifu, viongozi wa aina hii, ndio watalikomboa taifa letu!.

Kwa vile ana roho wa Mungu na anaongozwa na Roho Mtakatifu, akiisikia sauti ya kuwatumikia wana Arusha mjini kama Mbunge wao, aitike tuu wito au jimbo lingine lolote, aingie Bungeni, apewe key portfolio ili mwisho wa siku Mapenzi ya Bwana juu yake yatimie.

Mungu Mbariki Paul Makonda
Mungu Ibariki Tanzania.

Paskali.

Rejea za mtoa mada kuhusu Paul Makonda
  1. Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam
  2. Nikimwangalia Makonda, mambo anayoyafanya namuona kama Magufuli
  3. Bado kuna ubishi kuwa hiki ni chuma? Je, chuma hiki ni chuma kingine ila ni kama kile au chuma hiki ni kile kile kimerejea kivingine?
  4. Mafanikio ya Makonda ni Uthibitisho Wa Jiwe walilolikataa Waashi litafanywa kuwa Jiwe Kuu la Pembeni
  5. Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!
  6. Madawa ya Kulevya: Kumbe Makonda Alizuiwa Kutaja Majina!. Anaamini Uwazi, Atunge By-Law Ataje Majina
  7. Wale mnaosubiri kwa hamu Makonda atumbuliwe, mtasubiri sana!. Ukiwa ni mpakwa mafuta, ni mpakwa mafuta!
  8. Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho dhidi ya mafanikio yake! Makonda wapuuze

Kisa msukuma mwenzako,nchi inaongozwa na wajanjawajanja tu.Eti roho ya kwa shoga.
 
Arudi Dar kufanya nini? wakati tayari ubunge wa Arusha anao
 
Huyu chalamila ni zaidi ya kituko,
Huyu ni kichaa aliyelaaniwa kwa damu ya mtu ambaye alimuuwa.
Makonda ni mwendawazimu ambaye hafahi kabisa kuwa kiongozi
Mkuu pokea pongezi zangu. Umemaliza kila kitu. Na Mayalla ni mwandishi kanjanja aliyechanganyikiwa. Nadhani ajali ya pikipiki aliyopata iliharibu thinking capacity yake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom