Amina Mtengeti AKA Radhia Msuya

mwanamasala

JF-Expert Member
Jun 20, 2009
248
12
Je huyu mama ni mtu mmoja?Watu wa Mambo ya Nje tuambieni!
Hico cheo chake ni kwa Merit au Chakula cha wakubwa?
 
Radhia au Amina ni watu wawili tofauti. Cheo chake Radhia ni merit,kwa sababu dada yake,Asha Rose,ndiye aliyekuwa mkuu wa Wizara ya Nje.
 
Mkuu,Balozi Radhia Naima Msuya alikuwepo MOFA muda mrefu kabla Dada yake Dr Migiro kuwa Waziri katika Wizara hiyo.
 
Asante sana ndugu yangu...tena kwa kuongezea ni kuwa wakati Asha-Rose akila chaki na kumenyeka na research UDMS, mdogo wake Radhia ( Mrs Msuya) yuko MOFA kama career diplomat.Kupanda kwake ni kwa merit..na huenda alistahili kuwa hata balozi kamili akiiwakilisha nchi...

PIA anajiweza sana.... uwezo wake kawaulize wale walioona uchacharikaji wake Permanent Mission to UN NY hasa kwenye 3rd Committee.
 
Je huyu mama ni mtu mmoja?Watu wa Mambo ya Nje tuambieni!
Hico cheo chake ni kwa Merit au Chakula cha wakubwa?

Ushamaliza shida zako na wananchi wanaokuzunguka mpaka unaingilia ya watu?

Wa-Tz tupunguze majungu tufanye kazi na kujifunza yalo na tija!!
 
Je huyu mama ni mtu mmoja?Watu wa Mambo ya Nje tuambieni!
Hico cheo chake ni kwa Merit au Chakula cha wakubwa?

Jiweke wazi kwanini uzunguke. Shida yako ni dini yake ya Uislam na madaraka aliyopewa.

Acha udini wewe.
 
Asante sana ndugu yangu...tena kwa kuongezea ni kuwa wakati Asha-Rose akila chaki na kumenyeka na research UDMS, mdogo wake Radhia ( Mrs Msuya) yuko MOFA kama career diplomat.Kupanda kwake ni kwa merit..na huenda alistahili kuwa hata balozi kamili akiiwakilisha nchi...

PIA anajiweza sana.... uwezo wake kawaulize wale walioona uchacharikaji wake Permanent Mission to UN NY hasa kwenye 3rd Committee.

VR
Dada Radhia ni mchapakazi sana na yuko well knowlegeable and informed binafsi nimeishakutana naye kwenye mikutano na hafla mbali mbali. Yuko vizuri upstairs hata anavyochanganua mambo nilimpenda. Ifike wakati tuheshimu vipawa vya wengine, tuache tabia za kuzushia watu hata yasiyo yahusu. Anafaa hata kuwa waziri wa mambo ya nje.

Go on dada Radhia
 
Masa..mimi namtetea na nitamtetea sana tu maana najua utendaji wake..wengine wanasikia majungu mitaani.. hata hawamjui wanakuja hapa kumchafua dada wa watu.
Watanzania kwa mwendo huu basi tukae mkao wa kuambulia kunawa tu na kula hatutakula.Badala ya kujishughulisha na yako..kutwa kuchokonoa ya wengine..huo muda ungewezesha kufanya jambo moja au mawili yenye tija.
 
Hawa wote upstairs zao ziko bomba sana na ni wachapa kazi wazuri sana. Huyu ni mdogo wa Kingunge mmoja pale UN (jina kapuni) na dada yake mwingine ni VC pale University ya Waislamu (jina kapuni...nadhani hajaondoka) JF sasa hivi inaelekea mahali pabaya sana ya watu kutumia ukumbi huu kuanza kuwachafua Watanzania wenzetu bila hata ya kutoa ushahidi wa hicho wanachokiandika. Ikiendelea hivi basi inaweza kabisa ikawa Ze Utamu nyingine.
 
Mkuu,Balozi Radhia Naima Msuya alikuwepo MOFA muda mrefu kabla Dada yake Dr Migiro kuwa Waziri katika Wizara hiyo.

Mheshimiwa Balozi mtaafu, je hiyo inazuia kua chakula cha wenye visu vikali? Hawa mafisadi wa ngono hupandisha watu vyeo kwa staili hiyo mkuu!
 
Huyu Amina Mtengeti ambaye amefariki juzi- ni yupi??? mbona inachanganya
 
Masa..mimi namtetea na nitamtetea sana tu maana najua utendaji wake..wengine wanasikia majungu mitaani.. hata hawamjui wanakuja hapa kumchafua dada wa watu.
Watanzania kwa mwendo huu basi tukae mkao wa kuambulia kunawa tu na kula hatutakula.Badala ya kujishughulisha na yako..kutwa kuchokonoa ya wengine..huo muda ungewezesha kufanya jambo moja au mawili yenye tija.
majungu ni middle name ya. Zaidi ya nusu ya watanzania
 
Back
Top Bottom