Amina kajiharibia mwenyewe

Amina kajiharibia mwenyewe

Brightdeemed

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2014
Posts
291
Reaction score
139
Muda wote wa hotuba kuji associate na kujipendekeza kwa mamvi, hakiyamungu hatoboi

-Ana element za ukibararaka
-Hongera Asha
-Hongera jembe ngosha
 
Endeleeni kujipendekeza tu!!!

Dongo La Kiemba mimi sio gamba kama hao mamburula hapo Dodoma, sina muda wa kujipendekeza kwa yoyote.
Kikwete alishawaambia wanaCCM kuwa wanawake ni watu wa kuwezeshwa, sasa kawabeba wawili mpaka Halmashauri kuu, kisha wanawake wakabebwa na Fisadi Lowassa mpaka Mkutano mkuu, sasa tatizo liko wapi kama wataamua kusafiria Nyota za Mafisadi.
 
Last edited by a moderator:
Subiri uone matokeo! WEWE unajua siasa au umeziona kwenye TV tu?
 
I can see mama kutoka Zanzibar akishinda kwa msaada wa kura za kundi la Lowasa,..strategically ccm itakuwa na mgombea weak kabisa,then Lowasa can go to any opposition party na kushinda kirahisi.
 
Wewe hujui, jiulize kwa nini siku timu kwa mfano ya kenya au Uganda or yoyote ile wakija kucheza na Yanga wanavaa jezi nyekundu?????????
 
Bii kidude ni Urojooo...
.. kajichinja mwenyewe,Kusimama kwenye kadamnasi ya watu kisha ujieleze yataka Mazowea
 
Back
Top Bottom