mtumishidc
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 513
- 181
Kimsingi alipotea kabisa hakujua anastahili kuzungumza nini, alikuwa km kastukizwa! Sifa na usomi wake vikapotezwa na woga ama kutojiamini!Hajui kujieleza,hana confidence anajichanganya hafai kutuongoza