Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,647
- 11,227
Mkuu wewe hujui siasa, hii ni game, lazima uangalie mtaji wa wapiga kura uko wapi, kama ni kwa Fisadi basi kujipendekeza ni Lazima.
Mkuu pale alibugi hakupaswa kujiassociate na Lowassa,pale kwa kumtaja Lowassa moja.kwa moja kura za Membe,January alizikosa,pia ukumbuke kura za Lowassa zilikuwa tayari zimeamua kuwa kwa Magufuli,kwa hiyo alichokifanya ni kukosa kura za kila upande ndio maana kawa wa mwisho