Amina Ally unaharibu kipindi cha Amplifier Clouds Fm

Wakati mwingine milard anakuwaga kama hamuelewi hivi kabisa. Kiufupi anaboa
 
Mm nampenda sana utangazaji wa Amina, japo kazidisha sana utani haswa haswa kweny hichi kipindi cha Aplifaya tulizoea kilikuwa cha seriaz sana, apunguze utani kidgo na kuacha maneno mengi na kutoka nje ya mada, nina imani ni mtangazaji mzuri sana hapo mbeleni akizingatia hayo
 
Mimi sio mpenzi sana Wa clouds Ila Millard ayo na kipindi chake nimemkubali sana Ila tangia Huyu dada ajoin, things are never the same again , Huyu dada atafutiwe segment nyingine , Hata hapo amplifier aje na issue Moja tu na isizidi dk 5 aondoke then Millard aendelee. Hata mke wangu ambae ni mpenzi sana wa clouds anamlalamikia sana Huyu dada
 
Labda huenda milard akawa anamtekenya tekenya hapo studio
 
Huku songea mawingu wanamiezi wamekata mawasiliano
 
Huenda hao watangazaji ni Wapenzi, hivyo wameamua kuleta mapenzi yao studio.
Binafsi huwa siipendagi kabisa Clauds Fm, ni radio ya kinafiki, umbeya na ngono tu. Sinaga muda wa kuisikiliza.
Usilete chuki za kwenu... Nonsense.
 
Mimi nilichoka pale MILLAD aliposafiri nadhani alikuwa ni ama kikazi ama binafsi Arusha....

Ulimwengu mzima ulijua... maana kipindi ilikuwa ni mwanzo mwisho anamtaja na kumlilia MILLAD....!!
Au anampenda nje ya studio
 
Habari Wakuu, heri ya Sikukuu ya Mapinduzi...................

Awali ya yote napenda kusema mimi ni moja ya vijana wachache hapa mjini ambao bado tuko "very loyal" kwa radio hii maarufu ya Clouds Fm. Despite vipindi vya redio hii pendwa kwa vijana (kwa mujibu wa IPSOS 2015), kujaa matangazo ya biashara na content zisizo na tija kwa Taifa, ni nadra sana kwa mimi kukosa kusikiliza vipindi vya "Amplifier" by Millard Ayo, "Sports Extra" na "Nambie" kwa Zaidi ya miaka saba sasa, pengine sababu content ya vipindi hivi vinaendana na character yangu.

Ni kama wiki mbili au tatu zimepita tangu Dada huyu Amina Ally aliekuwa akifanya vizuri sana katika kipindi cha "Nambie" aanze kusika hewani katika kipindi cha Amplifier akiwa na Millard Ayo. Nilipomsikia kwa mara ya kwanza nilifurahi na kuhuzunika kwa pamoja. Nilifurahi nikijua kipindi kitakuwa kizuri Zaidi maana mafundi wawili wamekutana, na nilihuzunika na kuwa na hofu kidogo nikidhani pengine soon Millard Ayo atakiacha kipindi hiki na hivyo Amina Ally anaandaliwa kama replacement.

Cha ajabu tangu Dada huyu aingie kwenye kipindi hiki, amekua hovyo kweli, anacheka cheka bila msingi na kuleta stori zisizoendana na flow ya kipindi. Kwa kifupi amekuja kuiharibu Amplifier na kuifanya ishindwe kueleweka kwa wasikilizaji makini kama mimi. Nahisi Millard Ayo ameshaligundua hili ila anashindwa tu kumchana yule dada.

Nashauri program manager wa "Mawingu FM" kulitazama hili kwa jicho la tatu maana yule dada kawa kero kabisa na kipindi kinamshinda katika Nyanja zoote na ikiwezekana arudishwe kwenye kipindi chake cha zamani.

Nimewasilisha mawazo ya wengi ambao wanakerwa na uwepo wa dada huyu kweny kipindi hiki kupitia platform hii nikiamini taarifa hii itawafikia Clouds Media Group.
Naunga mkono hoja
 
akikua ataacha ujinga wake
 
*HAYA TENA KWA MARA NYINGINE TENA BAHATI HAIJI MARA MBILI* *JE, WAJUA BANDO NA SIMU YAKO NI MTAJI TOSHA?*Kama huna ajira na unataka kuongeza kipato chako *Furusa hiyo fungua link hii http://jamiiforums.com/?refcode=102945
ujipatie pesa haraka sana kuliko kupoteza bando bila faida yoyote jaribu sasa uwaambie na members wengine watumie furusa hii*
 
Huyoo. Dada. Mi.. Pia. Ananiboa. Sanaa ila. Kiukweli. Saut. Yake.. Ipo. Vizuri. Semaaa. Tu. Ni. Mchaluko.. Frani. Iviii
 
cha msing awe nanafasi yausaidiz asilete usela sana anaongea kama ndo prezenta wa toptop au milad anataka kumwachia
 
cha msing awe nanafasi yausaidiz asilete usela sana anaongea kama ndo prezenta wa toptop au milad anataka kumwac
 
N

Naikumbuka the Cruise ya George Bantu na mwenzie kipindi kile ilitisha sana mpaka niliacha kusikiliza Ampli, kama Amina akiendelea, I will have no choice than coming back EA radio
Alikuwa na Kennedythe remedy
 
Back
Top Bottom