Amina Ally unaharibu kipindi cha Amplifier Clouds Fm

Amina Ally unaharibu kipindi cha Amplifier Clouds Fm

Hahahahhahahahaha

Makavu laivu watanzania wanafiki sana , na wanapenda kufatilia maisha ya watu balaaa hebu fikiria mtu anatumia muda mwingi kujua maisha ya watu wengine wasio muhusu kuliko kufanya kazi .

Ngoja niishie hapo maana .......
Hio inasababisha kuchelewa maendeleo, sababu ya watu kudeal na mambo ya watu, nadhani tukifocus kwa issue binafsi sidhani kama kutakuwa na kuchuguliana namna hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitika vipindi bora kabisa vya clouds ukitoa cha michezo ni hicho Amplifier, kilikuwa kipindi kilichokuwa na habari bora na mtangazajia laikuwa serious, lakini sasa kimekuwa ni kipindi cha comedy, kimekufa kabisa maana yake

Huyo dada Amina Ally ana "boa" kuliko maelezo kazi ni kuchekacheka tu hata kama hakuna cha kuchekesha, pia kamzidi nguvu kabisa Ayo, Ayo amekuwa kama ni mtangazaji msaidizi tu, Clouds kama wanapita humu walifanyie kazi hilo,
Pia wasisahau kumpunzisha Adam Mchomvu ni mtu mwingine pia anaeharibu Kipindi cha XXL,
Hata Kibonde nae inabidi aonywe maneno yake mengine ya hovyo hovyo tuu, haipiti siku ktk kipindi aache kuongelea ngono hata kwa utani tuu, sijui anajisikiaje? Halafu ile mijitu mingine miwili inacheka cheka tuu kama ipo kwa ngariba. Aaaa acheni ujinga huo, jirekebisheni.
 
Duuuh! Kumbe tangu January yuko kwenye kipindi!?!? Mimi nimeanza kumskia juzi juzi tu July maana siku kadhaa nyuma nilikuwa bize sana
Amplifier ilinifanya nipende kusikiliza clouds sababu Milard Ayo alikuwa anatoa summary ya habari kubwa za siku kitu kilichowashinda kina Kibonde maana muda wa kipindi chao ulitakiwa uwe na maudhui ya hard news

Ki ukweli Milard alikuwa yuko serious na kipindi chake na Kwa muda sasa kilimjengea jina.

Haijalishi huyu bi dada anaelimu na uzoefu wa kazi hiyo kiasi gani ila inabidi aelewe kuwa haja-match na Milard

Mbaya zaidi anatake advantage ya upole wa Milard kum-overrap! Muda mwingi ana host kipindi Kwa stories ambazo wasikilizaji wa Milard hawazipendi! Kifupi Kwa sasa wakubali kwamba watapoteza baadhi ya wasikilizaji wengi tu wa kipindi hiki

Huyu dada angefaa sana kwenye kipindi cha sijui heka heka sijui kama ndo jina sahihi la kipindi ila kinaanza mara baada ya power break fast

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli Kabsa Hata Mimi Simpend Huyu Dada Jaman Kwa Kile Kipind Anaboa Sana Me Nilishawah Kumwambia Jamaa Angu Kuwa Huyu Dada Anaboa Sana Tena Sana Kwenye Kipind Cha Amplifaya Labda Kwenye Kipind Cha Niambie Ndo Anafulahisha Lakin Nasema Tena Uongozi Wa Clauds Fm Wamuondoe Kwenye Kipind Kile Na Abakie Na Kipind Cha Niambia Kwa Kweli Nimepata Pa Kusemea Maana Nilikua Nalo Moyon Pale Abaki Milad Ayo Tu
 
Mtangazaji mbaya clouds media nzima,hajui kutangaza,ana sauti mbaya na anajishaua hata pasipofaaa, nadhani yupo pale tu kama ana maslahi na MTU,nimeacha sikiliza amplifier sababu yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wakati nakumbuka kifungua amplifier nikishasikia sauti yake tu narudi kwa flash yangu kile kipindi kinatakiwa mtu mwenye kujua mambo kwa undani sana na mwenye kupenda kusoma kila wakati
Milard kumuelezea Bill Gates kwa undani anadakia ni ndugu yangu kanifata mm na ushenzi mwingine mwingi mnalaumu tu serekali si sikivu ila nyie mmezidi kama mnatafuta mbadala wa Ayoo sbb siku zake hapo zinahesabika kwa mina bado
 
Kuna wakati nakumbuka kifungua amplifier nikishasikia sauti yake tu narudi kwa flash yangu kile kipindi kinatakiwa mtu mwenye kujua mambo kwa undani sana na mwenye kupenda kusoma kila wakati
Milard kumuelezea Bill Gates kwa undani anadakia ni ndugu yangu kanifata mm na ushenzi mwingine mwingi mnalaumu tu serekali si sikivu ila nyie mmezidi kama mnatafuta mbadala wa Ayoo sbb siku zake hapo zinahesabika kwa mina bado
Hahah eti ni ndg yake na bill gate.
 
Mina ana sauti nzuri hatari.nadhani ameendana na wanapendeza sana katika kipindi cha niambie,na yule jamaa mnyakyusa.
 
Back
Top Bottom