Amina Ally unaharibu kipindi cha Amplifier Clouds Fm

Amina Ally unaharibu kipindi cha Amplifier Clouds Fm

Kitika vipindi bora kabisa vya clouds ukitoa cha michezo ni hicho Amplifier, kilikuwa kipindi kilichokuwa na habari bora na mtangazajia laikuwa serious, lakini sasa kimekuwa ni kipindi cha comedy, kimekufa kabisa maana yake

Huyo dada Amina Ally ana "boa" kuliko maelezo kazi ni kuchekacheka tu hata kama hakuna cha kuchekesha, pia kamzidi nguvu kabisa Ayo, Ayo amekuwa kama ni mtangazaji msaidizi tu, Clouds kama wanapita humu walifanyie kazi hilo,
Pia wasisahau kumpunzisha Adam Mchomvu ni mtu mwingine pia anaeharibu Kipindi cha XXL,

Aise muombe radhi Adamuuu...yule jamaa ni bonge la intertainer, na ndio maana hata wanapotaka ndumu iharamishwe nitaishauri gavoo imruhusu Adam peke yake aendelee coz anatuburudisha.

Seriously Adam namkubali, ana match vizuri sana na timu yake ile.....au wewe ni mpinzani unataka akitoka tu mumdake?
 
Kipindi ambacho sikipendi ni power break fast.kuanzia SAA 11 mpaka SAA 12.wakati yupo fredwaa.yule jamaa asipomtaja magufuli siku haijaenda.

Duu, umenikumbusha Fredwaa..hata mimi nimekuwa nampinga ila kwa hili tatizo lililojitokeza sasa Fredwaa abaki tu, ila Dada aondoke pale amplifaya.
 
Labda huenda milard akawa anamtekenya tekenya hapo studio
Milard yupi? huyu Padri, aa wee....labda awekwe na Mchomvu siku mbili tu, ya tatu kanakuja na adabu tele.
 
Kwa kifupi huyu Bi dada na Milard pale hamna chemistry kabisa, ni bora aendelee na kipindi cha Niambie na yule mwenzake 'ndala ndefu'

Na sijui kama hao wahusika wa Clouds huwa wanasikiliza na kuridhia zile kelele.

JK commedian alikuwa wanaenda vizuri tu sijui imekuwaje tena kuleta huu mcharuko.
 
MTU anayecheka Cheka ujue na kichwani pia nimweupe! Huyo Dada wamatafutie kipindi cha vichekesho,anzingua sana! Na yule wa jumapili na Harris siwaelewi kabisa,uzungu mwingi,utoto,umarekani wkt wote tunaishi nao kwa mtogole!
 
Nadhani unamzungumzia Lilian, kipindi kinaitwa temino na huruka jmosi sio jpili.
 
Mara Hamtaki Kusi kiliza Clouds Eti Radio Ya Watu, Radio Ya CCM Wakati Huo Huo Hambadilishi Channel, Mmekomaa Nao Tu.
- Tanzania Imejaa Watu Wanafiki,

- Masoud Kipanya Nae Alikuwaga Anaponda Clouds, Eti Ukiacha Taarifa Ya Habari Hawana Kipindi Kingine Kizuri, Tena Siku Ile Clouds Wanafanya Sherehe Kuanza Kuonekana DSTV Ndo Aliponda Balaa, Leo Kaajiriwa Na Hao Hao Clouds Anatema Tu Ujinga Wake - Upuuzi Wa Masoud Kipanya. Tanzania Imejaa Wanafiki Kwasababu Ya Ugumu Wa Maisha Na Njaa
 
Jamani jamani kweli huyu dada anaboa na amekifanya kipndi hakina kimekosa ubora
 
Weeee minaaaa.... unawatoa watu mapovuu huku
 
Attachments

  • MINA.jpg
    MINA.jpg
    31.5 KB · Views: 428
Wanamuita Meena - Anyway ngoja nikuelezee kwanini walimuweka pale.. East Africa Radio wana The cruise kuna Queen Fifi na yule jamaa watu wengi sana ikifika mida ile huwa wanasikiliza sana East Africa Radio kutokana na Amplifier kupwaya na kua na matangazo 10000 ingawa ndipo hela inaingia wakaona wa mlete ili wawe kama Ea Radio..
2- Inasemekana Amplifire ilikuwa inafanyaka nyumbani kwa Ayo na kurekodiwa na kutumwa studio alafu Faraja (producer) akawa ana play vipande kuringana na news (Ayo yuko busy na ujenzi wa taifa ) katika station yoyote huwa kuna classfied adverts ambazo huwa zinasomwa hapo hapo wakati kipindi kinaendelea sasa zile zilishindwa kusomwa kwa sababu Ayo hayupo kwa io wakaona ni dharau hii kwa vile kijana ameona amefahamika kaanza dharau.. Wakamfuata Meena Bbc waka panda dau mazaga kede kede mkataba wakampa wakaja kumuweka hapo bila Ayo kufahamu siku ikafika akaambiwa utakua unafanya kipindi na uyu bidada wakampa na stress zingine.. Imebidi jamaa (ayo) avunje utaratibu wa zamani sa ivi kipindi kinafanyika studio (clouds) na hawezi kumuelekeza njia kuringana na maisha ya utangazaji yalivo
Wanalipwa how much?
 
Acha uongo.
Kipindi kilikua kinafanyika liver kwenye studio ya Millard Ayo. Ajawai kurekodi kipindi ata siku moja na kama yuko safarini anamuachia kipindi Askofu. Na Mina ni manzi wa ndugu yake Millard (Shemeji) kwahiyo awezi kufanya kitu chochote bila kushirikiana na Millard. Ndio maana unaona ana utani mwingi sana na Millard kwasababu wanajuana mda mrefu karibia miaka miwili.
Duuh, studio ya jamaa iko wapi.?

Naye demu wake ni nani.?!

(Sorry for askin)
 
Ni Fetty pekee ndio alivuta watu kwa kicheko. Yaani hata acheke kipindi kizima kuna watu wangesikiliza.
 
Ea radio hawana watangazaji dizaini hii labda watoke pale ndio wanajichetua
Huyu dada alikuwepo Eatv kama producer na sio Ea radio, alikuwa anaandaa kipindi cha Uswazi kama sikosei, na pia alikuwa anaweka sauti yake kwenye uswazi kama Zembwela akiwa hayupo alikuwa vizuri sana kulee. Alikuwa anaweza kuendesha kipindi bila hata mtangazaji .

Huko mnakozungumzia mi sijui kama ana boa au laa mi sijawahi tune hiyo radio na Tv yao .
 
Mara Hamtaki Kusi kiliza Clouds Eti Radio Ya Watu, Radio Ya CCM Wakati Huo Huo Hambadilishi Channel, Mmekomaa Nao Tu.
- Tanzania Imejaa Watu Wanafiki,

- Masoud Kipanya Nae Alikuwaga Anaponda Clouds, Eti Ukiacha Taarifa Ya Habari Hawana Kipindi Kingine Kizuri, Tena Siku Ile Clouds Wanafanya Sherehe Kuanza Kuonekana DSTV Ndo Aliponda Balaa, Leo Kaajiriwa Na Hao Hao Clouds Anatema Tu Ujinga Wake - Upuuzi Wa Masoud Kipanya. Tanzania Imejaa Wanafiki Kwasababu Ya Ugumu Wa Maisha Na Njaa
Hahahahhahahahaha

Makavu laivu watanzania wanafiki sana , na wanapenda kufatilia maisha ya watu balaaa hebu fikiria mtu anatumia muda mwingi kujua maisha ya watu wengine wasio muhusu kuliko kufanya kazi .

Ngoja niishie hapo maana .......
 
Huyu dada alikuwepo Eatv kama producer na sio Ea radio, alikuwa anaandaa kipindi cha Uswazi kama sikosei, na pia alikuwa anaweka sauti yake kwenye uswazi kama Zembwela akiwa hayupo alikuwa vizuri sana kulee. Alikuwa anaweza kuendesha kipindi bila hata mtangazaji .

Huko mnakozungumzia mi sijui kama ana boa au laa mi sijawahi tune hiyo radio na Tv yao .
IPP wanafundishwa nidhamu na weledi sio kujipelekapeleka tu
 
Back
Top Bottom