Peleka malalamiko clouds radio, hapa si sehemu sahihi ya kutatuliwa tatizo lako, kama unabisha utaona akiendelea kuchekacheka tuuHabari Wakuu, heri ya Sikukuu ya Mapinduzi...................
Awali ya yote napenda kusema mimi ni moja ya vijana wachache hapa mjini ambao bado tuko "very loyal" kwa radio hii maarufu ya Clouds Fm. Despite vipindi vya redio hii pendwa kwa vijana (kwa mujibu wa IPSOS 2015), kujaa matangazo ya biashara na content zisizo na tija kwa Taifa, ni nadra sana kwa mimi kukosa kusikiliza vipindi vya "Amplifier" by Millard Ayo, "Sports Extra" na "Nambie" kwa Zaidi ya miaka saba sasa, pengine sababu content ya vipindi hivi vinaendana na character yangu.
Ni kama wiki mbili au tatu zimepita tangu Dada huyu Amina Ally aliekuwa akifanya vizuri sana katika kipindi cha "Nambie" aanze kusika hewani katika kipindi cha Amplifier akiwa na Millard Ayo. Nilipomsikia kwa mara ya kwanza nilifurahi na kuhuzunika kwa pamoja. Nilifurahi nikijua kipindi kitakuwa kizuri Zaidi maana mafundi wawili wamekutana, na nilihuzunika na kuwa na hofu kidogo nikidhani pengine soon Millard Ayo atakiacha kipindi hiki na hivyo Amina Ally anaandaliwa kama replacement.
Cha ajabu tangu Dada huyu aingie kwenye kipindi hiki, amekua hovyo kweli, anacheka cheka bila msingi na kuleta stori zisizoendana na flow ya kipindi. Kwa kifupi amekuja kuiharibu Amplifier na kuifanya ishindwe kueleweka kwa wasikilizaji makini kama mimi. Nahisi Millard Ayo ameshaligundua hili ila anashindwa tu kumchana yule dada.
Nashauri program manager wa "Mawingu FM" kulitazama hili kwa jicho la tatu maana yule dada kawa kero kabisa na kipindi kinamshinda katika Nyanja zoote na ikiwezekana arudishwe kwenye kipindi chake cha zamani.
Nimewasilisha mawazo ya wengi ambao wanakerwa na uwepo wa dada huyu kweny kipindi hiki kupitia platform hii nikiamini taarifa hii itawafikia Clouds Media Group.
Huu ugonjwa unasemekana hauna tiba na uwapata sana akina dada kuanzia miaka 22 na kuendeleaLabda anaumwa chekelea.
Kwingine koote upo sawa ila hapi kuhusu adamu umeenda kombo na kupoteza umaana wa point yako au unabifu na AdamuKitika vipindi bora kabisa vya clouds ukitoa cha michezo ni hicho Amplifier, kilikuwa kipindi kilichokuwa na habari bora na mtangazajia laikuwa serious, lakini sasa kimekuwa ni kipindi cha comedy, kimekufa kabisa maana yake
Huyo dada Amina Ally ana "boa" kuliko maelezo kazi ni kuchekacheka tu hata kama hakuna cha kuchekesha, pia kamzidi nguvu kabisa Ayo, Ayo amekuwa kama ni mtangazaji msaidizi tu, Clouds kama wanapita humu walifanyie kazi hilo,
Pia wasisahau kumpunzisha Adam Mchomvu ni mtu mwingine pia anaeharibu Kipindi cha XXL,
Mashabiki wa djaro utawajua tu.ndo nani huyo dada na redio mbona siijui? msaada tafadhari
Sasa kama wamefanya utafiti kwann wasipinge.Acheni wivu, nyi kila kitu kupinga tu...
Ni jirani yangu hapa tumepanga nitamfikishia ujumbeHahahahahahhh, I wish kangekua hapa kakaona jinsi kanavowakosea watu, pengine kangejirekebisha
Bifu namjulia wapi Adam?, kila mtu ana mtazamo wake kwenye kila kitu, mimi kwa mtazamo wangu Adam hafai, so heshimu mitazamo yangu nami pia naheshimu yako piaKwingine koote upo sawa ila hapi kuhusu adamu umeenda kombo na kupoteza umaana wa point yako au unabifu na Adamu
Mwanamke ni pambo....hata akicheka kuna raha yakeHapana mkuu, tangu huyu binti aanze kutangaza kipindi kimekosa mvuto kabisa. Yeye ni kucheka cheka tu
Mbona unang'aka hivo? Na mm hayo ndo maoni yangu....Acha fikra potof Mkuu, haya ni maoni ya wasikilizaji na wadau wakubwa wa Amplifier