Amina Ally unaharibu kipindi cha Amplifier Clouds Fm

Amina Ally unaharibu kipindi cha Amplifier Clouds Fm

Kitika vipindi bora kabisa vya clouds ukitoa cha michezo ni hicho Amplifier, kilikuwa kipindi kilichokuwa na habari bora na mtangazajia laikuwa serious, lakini sasa kimekuwa ni kipindi cha comedy, kimekufa kabisa maana yake

Huyo dada Amina Ally ana "boa" kuliko maelezo kazi ni kuchekacheka tu hata kama hakuna cha kuchekesha, pia kamzidi nguvu kabisa Ayo, Ayo amekuwa kama ni mtangazaji msaidizi tu, Clouds kama wanapita humu walifanyie kazi hilo,
Pia wasisahau kumpunzisha Adam Mchomvu ni mtu mwingine pia anaeharibu Kipindi cha XXL,
umeluja vzur lakn kwa mchomvu umezngua
 
Habari Wakuu, heri ya Sikukuu ya Mapinduzi...................

Awali ya yote napenda kusema mimi ni moja ya vijana wachache hapa mjini ambao bado tuko "very loyal" kwa radio hii maarufu ya Clouds Fm. Despite vipindi vya redio hii pendwa kwa vijana (kwa mujibu wa IPSOS 2015), kujaa matangazo ya biashara na content zisizo na tija kwa Taifa, ni nadra sana kwa mimi kukosa kusikiliza vipindi vya "Amplifier" by Millard Ayo, "Sports Extra" na "Nambie" kwa Zaidi ya miaka saba sasa, pengine sababu content ya vipindi hivi vinaendana na character yangu.

Ni kama wiki mbili au tatu zimepita tangu Dada huyu Amina Ally aliekuwa akifanya vizuri sana katika kipindi cha "Nambie" aanze kusika hewani katika kipindi cha Amplifier akiwa na Millard Ayo. Nilipomsikia kwa mara ya kwanza nilifurahi na kuhuzunika kwa pamoja. Nilifurahi nikijua kipindi kitakuwa kizuri Zaidi maana mafundi wawili wamekutana, na nilihuzunika na kuwa na hofu kidogo nikidhani pengine soon Millard Ayo atakiacha kipindi hiki na hivyo Amina Ally anaandaliwa kama replacement.

Cha ajabu tangu Dada huyu aingie kwenye kipindi hiki, amekua hovyo kweli, anacheka cheka bila msingi na kuleta stori zisizoendana na flow ya kipindi. Kwa kifupi amekuja kuiharibu Amplifier na kuifanya ishindwe kueleweka kwa wasikilizaji makini kama mimi. Nahisi Millard Ayo ameshaligundua hili ila anashindwa tu kumchana yule dada.

Nashauri program manager wa "Mawingu FM" kulitazama hili kwa jicho la tatu maana yule dada kawa kero kabisa na kipindi kinamshinda katika Nyanja zoote na ikiwezekana arudishwe kwenye kipindi chake cha zamani.

Nimewasilisha mawazo ya wengi ambao wanakerwa na uwepo wa dada huyu kweny kipindi hiki kupitia platform hii nikiamini taarifa hii itawafikia Clouds Media Group.
Nimekuelewa watangazaj wote wazur ilatatzo hakuna mpangilio wakipnd nafikli watakaa sawa
 
umeluja vzur lakn kwa mchomvu umezngua
Mitazamo tofauti kaka, Mchomvu hakuna kitu pale, ana dominate sana mpaka kipindi kinakuwa hovyo, yaani yeye ndio yeye, kama yeye hayupo kipindi huwa kinaenda vizuri sana watu wanaongea kwa kupokezana wala hakuna ubishi wa kijingajinga
 
Kama ruge keshakula mzigo sahauni kuona mabadiliko
 
MH MUGABE hili shauri umelileta kwa wakati safi sana, natumai Clouds watalifanyia kazi pia Amina Ally yuko vizuri ila alipo sasa hatoshi, kama vp tumpe muda labda atajirekebisha.
 
Muda huu nasikiliza Amplifier...ni kweli bhana dada ana overlap sana
 
kale kadada mie nakachukuliaga kama ka chizi fresh kana jua watu wanataka kucheka cheka nyege zingine angefanyia kwenye vipindi vingine amplifaya watu kibao wanaipenda kutokana na umakini wa habari na mtiririko wake
 
MH MUGABE hili shauri umelileta kwa wakati safi sana, natumai Clouds watalifanyia kazi pia Amina Ally yuko vizuri ila alipo sasa hatoshi, kama vp tumpe muda labda atajirekebisha.
Ni kwel mkuu, Amina yuko vizuri sikatai, lakini nahis hafai katika vipindi serious kama Amplifier apewe kipindi kingine kabisaa, au arudi "Niambie"
 
kale kadada mie nakachukuliaga kama ka chizi fresh kana jua watu wanataka kucheka cheka nyege zingine angefanyia kwenye vipindi vingine amplifaya watu kibao wanaipenda kutokana na umakini wa habari na mtiririko wake
 
dah, yaani hichi kitu nimetoka kumueleza dereva tukiwa njiani Leo, kuwa huyu dada anaharibu hiki kipindi kabisa
 
Ule sio uzungumzaji ni Upayukaji.. Nimeanza nakukisahau hiko kipindi.. Kinaboa
 
Kumbe kuna muda mawazo ya watu huwa pamoja kwa uzoefu wangu wa mambo ya kiutu uzima uyu amejipendekeza kupitiliza kwa Milard jana Milard kachaguliwa kwenda kureport afcon hata hajasoma hiyo email vizuri kamerukia congratulations mpaka Milard kasema nilikuwa najiridhisha niwaambie vizuri wasikilizaji duhh kama ni kiherehere chake kimuemue vipindi vyangu vilikuwa amplifier na sport sasa vasi tena saa tatu tu usiku vingine tupa kuleer
 
Mawingu wote wanajua yule kawekwa pale na mkubwa Ruge baada ya kula mzigo, hakukuwa na sehemu nyingine ambayo angeweza kufiti maana vipindi vyote vimejitosheleza na vina watangazaji zaidi ya mmoja (ukiacha ala za roho). Njia pekee ya kumfanya aendane na kipindi ni kumfanya yeye ndiye awe main host na millard awe mchangiaji tofauti na hivyo kipindi kitaendelea kupoteza wasikilizaji kwa east africa radio na tbc taifa
 
Back
Top Bottom