Amina Ally unaharibu kipindi cha Amplifier Clouds Fm

Amina Ally unaharibu kipindi cha Amplifier Clouds Fm

Mawingu wote wanajua yule kawekwa pale na mkubwa Ruge baada ya kula mzigo, hakukuwa na sehemu nyingine ambayo angeweza kufiti maana vipindi vyote vimejitosheleza na vina watangazaji zaidi ya mmoja (ukiacha ala za roho). Njia pekee ya kumfanya aendane na kipindi ni kumfanya yeye ndiye awe main host na millard awe mchangiaji tofauti na hivyo kipindi kitaendelea kupoteza wasikilizaji kwa east africa radio na tbc taifa
Kwan mkuu nini kimetokea kwa kile kipindi chake cha awali?? kiliitwa "Nambie"
 
Watu bhana hawaishi ukosoaji yaani washakariri maisha. Lazima vitu vibadilike. Mi nakushauri usikilize ni bora ueke taarabu tu redio nyengine.
 
Watu bhana hawaishi ukosoaji yaani washakariri maisha. Lazima vitu vibadilike. Mi nakushauri usikilize ni bora ueke taarabu tu redio nyengine.

LOL ngoja niangalie kama kuna sehemu umesema wanaokosoa utendaji wa JPM kama umewaambia wahamie Kenya au Rwanda
 
Kipindi ambacho sikipendi ni power break fast.kuanzia SAA 11 mpaka SAA 12.wakati yupo fredwaa.yule jamaa asipomtaja magufuli siku haijaenda.
 
Kipindi ambacho sikipendi ni power break fast.kuanzia SAA 11 mpaka SAA 12.wakati yupo fredwaa.yule jamaa asipomtaja magufuli siku haijaenda.
Hahaha, Fred Waa, ilkuwa zaman kipind kile yupo RFA siku hzi hakuna kitu
 
Anakuwa na pepe sana hatulii. ..dizaini anajistukia na that way anapwaya she kills the vibe na kurukiarukia mada. ..
 
Mawingu wote wanajua yule kawekwa pale na mkubwa Ruge baada ya kula mzigo, hakukuwa na sehemu nyingine ambayo angeweza kufiti maana vipindi vyote vimejitosheleza na vina watangazaji zaidi ya mmoja (ukiacha ala za roho). Njia pekee ya kumfanya aendane na kipindi ni kumfanya yeye ndiye awe main host na millard awe mchangiaji tofauti na hivyo kipindi kitaendelea kupoteza wasikilizaji kwa east africa radio na tbc taifa
Karibu tu cruise mkuu
 
Kanimalizia bando langu yupo hovyo sana kazi kucheka pasipo chekeshwa anaboa sana kipindi kinakuwa cha hovyo

Clouds nusuruni Ampl, kabla huyu mama hajakiharibu zaidi
 
Habari Wakuu, heri ya Sikukuu ya Mapinduzi...................

Awali ya yote napenda kusema mimi ni moja ya vijana wachache hapa mjini ambao bado tuko "very loyal" kwa radio hii maarufu ya Clouds Fm. Despite vipindi vya redio hii pendwa kwa vijana (kwa mujibu wa IPSOS 2015), kujaa matangazo ya biashara na content zisizo na tija kwa Taifa, ni nadra sana kwa mimi kukosa kusikiliza vipindi vya "Amplifier" by Millard Ayo, "Sports Extra" na "Nambie" kwa Zaidi ya miaka saba sasa, pengine sababu content ya vipindi hivi vinaendana na character yangu.

Ni kama wiki mbili au tatu zimepita tangu Dada huyu Amina Ally aliekuwa akifanya vizuri sana katika kipindi cha "Nambie" aanze kusika hewani katika kipindi cha Amplifier akiwa na Millard Ayo. Nilipomsikia kwa mara ya kwanza nilifurahi na kuhuzunika kwa pamoja. Nilifurahi nikijua kipindi kitakuwa kizuri Zaidi maana mafundi wawili wamekutana, na nilihuzunika na kuwa na hofu kidogo nikidhani pengine soon Millard Ayo atakiacha kipindi hiki na hivyo Amina Ally anaandaliwa kama replacement.

Cha ajabu tangu Dada huyu aingie kwenye kipindi hiki, amekua hovyo kweli, anacheka cheka bila msingi na kuleta stori zisizoendana na flow ya kipindi. Kwa kifupi amekuja kuiharibu Amplifier na kuifanya ishindwe kueleweka kwa wasikilizaji makini kama mimi. Nahisi Millard Ayo ameshaligundua hili ila anashindwa tu kumchana yule dada.

Nashauri program manager wa "Mawingu FM" kulitazama hili kwa jicho la tatu maana yule dada kawa kero kabisa na kipindi kinamshinda katika Nyanja zoote na ikiwezekana arudishwe kwenye kipindi chake cha zamani.

Nimewasilisha mawazo ya wengi ambao wanakerwa na uwepo wa dada huyu kweny kipindi hiki kupitia platform hii nikiamini taarifa hii itawafikia Clouds Media Group.
Mupo vijana, na watoto wengine sana mnaofuatilia
 
TV yenu watoto mkibalehe mnaanza kupata ukweli ila watoto wengine wanajoin. Ni kama katuni umri ukienda unazishangas.

Hata 360 ni kipindi cha non intellectuals
 
Hata mm na kereka sana na huyu Mina sijui Ni utoto ?? Ana sauti nzuri ktk utangazaji Ila nazani utoto utakua unamsumbua! Aki badilika atakua poa sana Ila anakera kwa sasa
 
N
Karibu tu cruise mkuu
Naikumbuka the Cruise ya George Bantu na mwenzie kipindi kile ilitisha sana mpaka niliacha kusikiliza Ampli, kama Amina akiendelea, I will have no choice than coming back EA radio
 
Back
Top Bottom