Amina Ally unaharibu kipindi cha Amplifier Clouds Fm

Amina Ally unaharibu kipindi cha Amplifier Clouds Fm

Haiba ya millard anaongea taratibu na kwa pozi Fulani hivi.

Huyu dada naye angekuwa anaingia/anampokea/anapokezana naye kwa pozi Fulani hivi la kushabihiana.

Bidada kama vile katupiwa kifuko cha siafu/sisimizi/kama anakwepa kuumwa na nyuki.

Anajilesi saaaana

Nadhani ni jukumu la mwenye kipindi kumjenga aendane nacho,otherwise anaonekana ni type ya XXL na jopo lao la wavutaji kama chidi
 
Inaweza kuwa millard kalipia hii thread coz anataka kuwa mkoloni kwe amplifier
 
Kiukweli dada anaboa, anapayuka sana na kuchekacheka hovyo. Hatoi nafasi kwa Ayo kuzungumza mara nyingi anamkatisha.
 
Nahisi huwa anajitahidi au kaambiwa ajitahidi ili amfunike Millard.
 
Kwani Clouds Media hawana 'Postmotum'!?
Hilo ni jukumu lao kulingana na matakwa yao.
Kuna dokta mmoja yuko pale,MD,labda mpaka apelekewe maiti kutoka muhimbili pale pale studio,otherwise walitakiwa wawe na yaliyojiri-post-mortem.

Ikishindikana Mimi ntawakusanya masela tutinge pale studio na jeneza la mwili wa marehemu kwa ajili ya postmortem
 
ca2721ba69f3e060de3362975d6b0c4a.jpg
 
Wanamuita Meena - Anyway ngoja nikuelezee kwanini walimuweka pale.. East Africa Radio wana The cruise kuna Queen Fifi na yule jamaa watu wengi sana ikifika mida ile huwa wanasikiliza sana East Africa Radio kutokana na Amplifier kupwaya na kua na matangazo 10000 ingawa ndipo hela inaingia wakaona wa mlete ili wawe kama Ea Radio..
2- Inasemekana Amplifire ilikuwa inafanyaka nyumbani kwa Ayo na kurekodiwa na kutumwa studio alafu Faraja (producer) akawa ana play vipande kuringana na news (Ayo yuko busy na ujenzi wa taifa ) katika station yoyote huwa kuna classfied adverts ambazo huwa zinasomwa hapo hapo wakati kipindi kinaendelea sasa zile zilishindwa kusomwa kwa sababu Ayo hayupo kwa io wakaona ni dharau hii kwa vile kijana ameona amefahamika kaanza dharau.. Wakamfuata Meena Bbc waka panda dau mazaga kede kede mkataba wakampa wakaja kumuweka hapo bila Ayo kufahamu siku ikafika akaambiwa utakua unafanya kipindi na uyu bidada wakampa na stress zingine.. Imebidi jamaa (ayo) avunje utaratibu wa zamani sa ivi kipindi kinafanyika studio (clouds) na hawezi kumuelekeza njia kuringana na maisha ya utangazaji yalivo

Acha uongo kitu usichokijua ni bora ukae kimya kuliko kudanganya wenzio au sema huo ni mtazamo wako
Kipindi ni cha millard na niyeye ndo aliemtafuta meena kwakua alikosekana mtu mwingine ambae angekiweza
 
Samahan wakuu, kwan huyu Meena ni nan?nahis simfaham
 
Jamaa big up sana uliyeleta kero hii! Mimi nikiri kuwa ni mpenzi sana wa amplifier na sports extra ukitoa vipindi hivyo sina time na vipindi vingine pale clouds. Mpaka mama yangu ambaye ana miaka 60's naye anakipenda sana kipindi hicho. Sasa kuingia kwa huyu dada/mama kumevuruga kabisa kipindi cha amplifier. Nina wiki sasa nimeacha kabisa kukifuatilia hata mama yangu kaacha Sasa. Clouds nadhani ujumbe mmeupata lifanyieni kazi hili
message sent mkuu
 
Wanamuita Meena - Anyway ngoja nikuelezee kwanini walimuweka pale.. East Africa Radio wana The cruise kuna Queen Fifi na yule jamaa watu wengi sana ikifika mida ile huwa wanasikiliza sana East Africa Radio kutokana na Amplifier kupwaya na kua na matangazo 10000 ingawa ndipo hela inaingia wakaona wa mlete ili wawe kama Ea Radio..
2- Inasemekana Amplifire ilikuwa inafanyaka nyumbani kwa Ayo na kurekodiwa na kutumwa studio alafu Faraja (producer) akawa ana play vipande kuringana na news (Ayo yuko busy na ujenzi wa taifa ) katika station yoyote huwa kuna classfied adverts ambazo huwa zinasomwa hapo hapo wakati kipindi kinaendelea sasa zile zilishindwa kusomwa kwa sababu Ayo hayupo kwa io wakaona ni dharau hii kwa vile kijana ameona amefahamika kaanza dharau.. Wakamfuata Meena Bbc waka panda dau mazaga kede kede mkataba wakampa wakaja kumuweka hapo bila Ayo kufahamu siku ikafika akaambiwa utakua unafanya kipindi na uyu bidada wakampa na stress zingine.. Imebidi jamaa (ayo) avunje utaratibu wa zamani sa ivi kipindi kinafanyika studio (clouds) na hawezi kumuelekeza njia kuringana na maisha ya utangazaji yalivo
kweli??em lete chanzo cha iyo story yako mkuu
 
dfff072625c1fd09cd44ab9ab4e459b1.jpg
huyo hapo
Mkuu mimi ni mdau mkubwa sana wa tasnia hii ya habari lakini huyu bidada ndo namsikia na kumuona leo, unaeza nipatia short summary ya safari yake kiutangazaji mpaka afikie level za kum-replace Millard Ayo? naskia yuko BBC
 
Back
Top Bottom