Amina Ally unaharibu kipindi cha Amplifier Clouds Fm

Amina Ally unaharibu kipindi cha Amplifier Clouds Fm

Nilitaka kulisema hilo lakini nikaona nikaekimya sababu mimi sio mpenzi wa clouds fm lakini kwa siku kadhaa sababu ya eneo nililo kuwepo haikuwa na namna ikawa nasikiliza tu,dada anaongea sana kushinda millard point chache anarukiarukia vitu mwenzie akiwa anataka kuelezea nadhani hii couple bado haija match labda kama ndio katika kipindi cha mpito kabla millard hajaachana na mawingu fm
Mkuu inaezekana "Mtu wa nguvu" akawa anataka kuachana na Mawingu FM et?
 
Mimi nilichoka pale MILLAD aliposafiri nadhani alikuwa ni ama kikazi ama binafsi Arusha....

Ulimwengu mzima ulijua... maana kipindi ilikuwa ni mwanzo mwisho anamtaja na kumlilia MILLAD....!!
Yap Mkuu kumbe uligundua pia, kipindi kilimshinda kabisaa, sijui mabosi wake hua hawasikilizi? maana wangekuwa washamtoa
 
Si muache kusikiliza, kitu kama hukipendi unaachana nacho.
Sizan kama kwa kufanya hivyo tutasaidiana kusonga mbele, cha msingi hapa ni kurekebishana pale tunapokosea, ili tasnia hii ya Habari iende mbele na ipate heshima
 
Acha uongo.
Kipindi kilikua kinafanyika liver kwenye studio ya Millard Ayo. Ajawai kurekodi kipindi ata siku moja na kama yuko safarini anamuachia kipindi Askofu. Na Mina ni manzi wa ndugu yake Millard (Shemeji) kwahiyo awezi kufanya kitu chochote bila kushirikiana na Millard. Ndio maana unaona ana utani mwingi sana na Millard kwasababu wanajuana mda mrefu karibia miaka miwili.
Baki ivo ivo
 
Kitika vipindi bora kabisa vya clouds ukitoa cha michezo ni hicho Amplifier, kilikuwa kipindi kilichokuwa na habari bora na mtangazajia laikuwa serious, lakini sasa kimekuwa ni kipindi cha comedy, kimekufa kabisa maana yake

Huyo dada Amina Ally ana "boa" kuliko maelezo kazi ni kuchekacheka tu hata kama hakuna cha kuchekesha, pia kamzidi nguvu kabisa Ayo, Ayo amekuwa kama ni mtangazaji msaidizi tu, Clouds kama wanapita humu walifanyie kazi hilo,
Pia wasisahau kumpunzisha Adam Mchomvu ni mtu mwingine pia anaeharibu Kipindi cha XXL,
mchovu cjui tatizo nn ni mmoja ya mtu kielelezo cha wanaume wa dar.maswaga ya kitoto naya kipuuzi sana na outdated yaan boooonge la fara asee
 
mchovu cjui tatizo nn ni mmoja ya mtu kielelezo cha wanaume wa dar.maswaga ya kitoto naya kipuuzi sana na outdated yaan boooonge la fara asee

Kumbe umemuona ee, yaani anajiona yeye ndio kila kitu kwenye kile kipindi, jamaa wakiwa peke yao kioindi kinakuwa bomba sana, siku yeye akiwepo ni bonge la fujo studio
 
Mkuu inaezekana "Mtu wa nguvu" akawa anataka kuachana na Mawingu FM et?
Thats what i see,chemistry ya mtu wanguvu na huyo dem ni vitu viwili tofauti!!alafu kunatetesi zili kwea hapa jukwaani kuhusu jamaa kuachana na mawingu
 
Mie Jana tu nilitaka kusema hiki ninachosoma hapa lakini nikahisi may be umri wangu umeanza kuwa mkubwa lakini anaharibu sana kipindi hiki angefaa kile cha asubuhi wanachosikilizaga ma house girl na wagonjwa ambao siku hiyo hawapo kazini.
 
Huyo dada anajaribu kufanya kile kipindi kisiwe siriaz kama vingine ambavyo watangazaji wake wanaleta commedy na wengi sio profesionals.

Pia huwa anajaribu kum-drag millard ananane na akina kibonde, gardner na yule mwingine,.
 
Back
Top Bottom