mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 22,477
- 21,025
that is how it is
hivi ukigombana na mmeo solution kutafuta wa kukuliwaza?
hata mimi nashangaa
that is how it is
hivi ukigombana na mmeo solution kutafuta wa kukuliwaza?
Kiwango cha imani nilichonacho hakitoshi kumuamini.... Nahitaji imani kubwa sana kumuamini..''Ongeeza imani yetu''
Hivi kama humtaki MTU kwanini ule vyake????? Kwanini usimwambie mwanzo kabisa anapoanza hatua kwamba humtaki????? Kwanini umpotezee muda na kumpa matumaini badala ya kumuacha akajaribu kwingine???????
Nimekuelewa sana mkuu
Uyo dada anahamu ya kugawa uroda ndoa imetengemaa si amwambie mdingi ndo imetengemaa achape mwendo.
Najua shida itaanza mbona ulikuwa unakula ela zangu nawe mjibu kuwa nilijua ndoa yangu itavunjika afterall fedha yenyewe ya UMMA amefisadi uko ndo kaja kukudondoshea wewe.
ALAFU LIFTI IZI JAMANI IVI UNAANZAJE PEWA LIFTI NA MTU HUMFAHAMU MTAJA BAKWA IVI IVI AU POTELEA MABWEEEE.