Ameshakula hela yake nyingi, afanyeje aachane naye?

Ameshakula hela yake nyingi, afanyeje aachane naye?

UKWERI UTATUWEKA HURU. Ni vizuri akafunguka kwa huyo baba na kumweleza ukweli. Hapo atakuwa na amani na dhamira haitamsuta. Kwa muda huu asikubali tena ''mapesa'' ya huyo baba.
 
amwambie haiwezekan tena, tayari amani ndani ya nyumba yake isharudi....
ila ngoja niongee:... mtu umekutana nae barabarani pia baada ya mda anataka uwe nyumba dogo.... huku ukijua una mme nyumbani wa shida na raha.. lakini shida ilipotokea ukasahau kiapo... ukawa hauna uhakika kwamba ipi bora kati ya ndoa halali na kuwa nyumba ndogo... UAMINIFU NI KITU MUHIMU TUACHE TAMAA
 
bhana me nasema haiwezekani kala pesa lazima atoe papuchi ndo mambo mengine yaendelee
 
Umemla sana mzee wa watu sasa jiandae na wewe uliwe japo kidogo ndipo yaishe
 
mgogoro wa ndoa na kutafuna hela ya mtu kuna uhusiano gani?

ampe baba wa watu amle hata kidogo , kama kweli nafsi inamsuta.
 
siwezi kuwa mimi. mimi formulae yangu sili cha mtu. Tatizo la huyu shosti sio kupenda, wala huo mchepuko hajaupenda ila anajiwazisha kulipa alivyokula akavimbiwa. na ingekuwa mimi kabla ya kuchepuka ningehakikisha kabisa kuwa sina ndoa hapo
ungekuwa wewe ungeweza kufanya hivyo??
 
Kama hakuwahi kumuomba, wanaweza tu kuachana kwa amani... Ndoa ni jiwe la thamani kuliko vyote alivyo navyo...
 
as nafahamu bidada ela ya kumrudishia siyo tatizo anayo lkn how ataanza kurudisha

kama ana hela yake alikuwa anapokea hela ya mbaba ya nini???

ninachohisi, yawezekana hiyo hela ya mbaba ndiyo imestabilize ndoa yake maana alikuwa na extra pochi ambazo alikuwa hapati kutoka kwa mumewe.

muzee akikata support watarudi tena walikotoka.!!

Hivi inakuwaje mtu unatoa mambo ya ndoa yako kwa kila mtu? how? wengine wanafurahi wakiona ndoa yako imevunjika kwani walikuwa wakimtamani mmoja wenu!!
 
Unanitisha!!!!
Munkari kauli imekutisha, mimi sitishi! Nilidhamiria watu wapate UKWELI halisi, kuhusu hii taasisi, ajiandae kiakili kukabiliana na yote yahusuyo NDOA kama taasisi, aliyowahi kuyaskia na yale ambayo hajawahi kuyaskia!
Munkari watu lazima wajiandae kukwepa ile kauli: "aaaah! mimi sikujuwa kama ndoa ndio iko hivi, ningejua ........" baada ya NDOA!
 
Last edited by a moderator:
shetani mbaya sanasana!hujenga ukiwa una matatizo na ubomoa ukiwa tatizo limekwisha!
 
Habari zenu wakuu
Naamin mnaendelea vizuri na Ujenzi wa Taifa
Nisiwachoshe niende moja kwa moja kwa point, Nina Shost yangu kifupi tunashibana sana ila mwenzangu ni Mke Wa MTU kaolewa miaka 3 imepita.

Kuna kipindi walipitia misuko suko na ndoa yake(kwa jinsi alivyonambia ktk kipind hicho alikutana na baba mmoja tena barabarani akasimamisha Gari akampleka alikokuwa anaenda toka siku hyo wakafahamiana na huyo baba.

Baadae huyu baba akamuaproch shost, lakini Shost akamweleza matatizo yake na mumewe wameenda yule baba akawa anamshauri aondoke nyumbani kwake.

Huyo baba atamgharamikia kwa kila kitu kifupi awe nyumba ndogo yake, bidada hakumpa jibu (kwa maelezo yake) katika wakati huo huyo baba anamwaga mahela sana kwa Shost nae bidada akawa anazila tu BT anadai hakuwahi kumuomba hata siku moja.

Ikafika kipindi amani ikàrudi na mumewe sasa wanaelewana.

Ishu imekuja kwa bidada ananiomba ushauri kesha kula sana pesa za yule baba lakini hawajawahi Fanya lolote (Mbaba hakuwa na haraka anataka apate nyumba ndogo)shoga yangu hamtaki huyo Mbaba japo Mbaba ana matarajio Shost atoke kwa mumewe akapangishiwe nyumba.

Naombeni mnisaidie tumshauri huyu Rafiki yangu kanieleza nikamwambia tuonane.
Point yake anampotezeaje huyu baba ikiwa ameshatumia pesa zake nyingi amefika mbali anadai amrudishie ili aachane nae akiwa na amani.

Wakuu toeni michango yenu.

Kiufupi huyo shost yako mpeleke akaombewe pepo limtoke,maelezo uliyotoa kimsingi huyo ni mtu mwenye dhambi,yeye alikua na mume na huyo baba ana mke,sasa hapo kuna ushauli mnautaka wa nn?huoni hao ni watu wanahitaji tu maombi ili waache dhambi ya uongo na kunia mabaya! Peleka Arusha kwa Mwl Mwakasege awaponye na huyo baba asidai chochote na huyo shost ako asilipe chochote iwe imetoka
 
Hapo my instincts zinaniambia huyo mbaba ameshajilia sana sema anataka kwenda extra mile kwa kumuharibia kabisa ndoa ya huyo mdada

that is how it is
hivi ukigombana na mmeo solution kutafuta wa kukuliwaza?
 
Back
Top Bottom