Kozo Okamoto
JF-Expert Member
- Oct 14, 2013
- 3,391
- 1,546
- Thread starter
-
- #81
dah.. au uyo mdada atafute dawa kama yayule mwezako ukitoka tu nje mzee ashindwe kufanya kazi.ukiludi nyumban hali shwali mpaka kunakucha.asije akajitafutia kesi ya mauaji bule..
Hahahahahahahaha unamaanisha wakati wa chakula kila siku asikose maziwa mkuu na hasa akiwa amechiti ndio anywe kwa wingi.uwe unatembea ma maziwa tayari tayari, au usikose maziwa kwenye friji
Hahahahahahahaha unamaanisha wakati wa chakula kila siku asikose maziwa mkuu na hasa akiwa amechiti ndio anywe kwa wingi.
na wewe unataka hilo kwaramwambie anunue kabisa hiyo sumu..
hahahaha! utakuwa unajiamini haswaaHahahaaa mie niliambiwa ntachinjwa na sime ipo ndani,kila wikiend naifanyiaga usafi!
wadau,hasa kwa wale mliooa na kuolewa,na wengine wote kwa ujumla,wikend iliyopita nilikuwa napiga stori na waifu,baada ya kuniambia ananipenda sana akasema,siku akijua nina mcheat ataniwekea sumu kwenye chakula ili nife.dah,kauli ile ikanistua sana ukizingatia nilishawahi kucheat mara moja miaka ya nyuma japokuwa hakuwahi kugundua na mpaka leo ananiamini sana!!!bandugu hivi na ninyi huwa mnakutana na kauli kama hizi au ni waifu anafikiria kunichenjia?
sasa amejifunza wapi...?sio dada ake ufoo saro.yeye ni wa huku
Chunguza familia yao, isije ikawa wana asili hiyo!
sasa amejifunza wapi...?
kwani una mpango wa kumcheat tena if yes then jiandae
Mbona unaguna sasa si wanasema kunga ni bora kuliko kusubiri yakupate makubwa.mmmmmh
Anakutisha mtu wa kuweka sumu hatishii..
tobaaaa!!!valentina hebu njoo umsikie huyu mtu.eti anataka chukurubu ikatwe mwe!!!!
no.sina mpango huo but shhhh mkuu usimwambia mtu valentina asijesikia.ataninunia bure
Eti umesemaje!?
nadahni mlikuwa mnaongea kiutani, lakini ikakuchoma!!!!!
basi na wewe mwambie mkeo kuwa siku ukigundua kuwa anakusaliti, utatumia cha moto kama wenzetu wa chuaga!
equation balanced! wa kwanza kufa ndio looser!