Asante sana, kweli ni Hali ngumu sana ukiangalia Aibu aliyiisababisha kwangu na Kwa familia yangu nimekuwa gumzo mdomoni Kwa watu wengine walithubutu kunidhihaki Kwa namna walivyoweza kiukweli nina wakati mguu kwani nikimuacha aende nitaumia sana Kwa vyote nilivyotenda kwake eti anaishi Kwa mwanaume mwingine nitaumia sana na nikikubali arejee Kama awali nitadhataulika sana. Napata wakati mgumu sana jamani sijui nifanyeje mimi
Nilisema wazi kuwa " I am finding you , I will get you and I WILL KILL YOU" lakini amerudi mwenyewe nimfanyaje?
Kama amerudi, wewe ondoka!
Sent from my WhiteBerry using JamiiForums
Mpk anaingia ndani wewe ulikuwa wapi jmn
Emu mtoemo bn .... utakufa hvihvi na uoga wakooo
Msamehe
Kweli kuwa uyaone sikuwahi kufikiri hili lingetokea na lingenitokea mimi hapa nipo kazini kila kitu kimegoma sijui nitamkuta na atakua amefanya nini na ni nini kitaendelea
Karudi peke yake sijui kasahau nini na mpaka sasa simuelewi maana kakaa kimya namwangalia Kwa uoga hapa
Haaaaa......... umemuacha ndani tn nduguuuuu,? Hujipend ngj ukute kakubakishia box***er na midawa chini ya chagaaa