Amerudi sijui nimfanyeje


ahaaaaaa wanaume mlivyo weak usiku yataisha
 
Sialikuachia uhai, sasa amerudi kuuchukua.
 
Sialikuachia uhai, sasa amerudi kuuchukua.

Mh, sijui yani kila movement nafuatilia what will happen next.nani aanze kulala au niripoti police au nimburuze nimtoe nje. Mbona mpaka sasa hajasema chochote nimfanyeje huyu.mbona simuelewi
 

Dear huwezi kuishi na mkeo kama mlifunga ndoa, kwa kumtizama tuu. Somebody has to humble and God will exalt him/ her. So kama yeye yuko kimya na hana la kusema then you dear humble your self by breaking the silence and talk to her. Ukinuna na yeye akinuna mnaonyeshana kawa wote ni wababe na kuingiza fikra za kishetani. Ongea na mkeo mjue kisa.na mkasa kilichomfanya aondoke ukishajua , muulize sasa kwa.nini amerudi , make sure wakati unaongea nae isiwe kijeuri , just relax kwa kuondoa hasira zote, akikueleza ooh kule sikupata nilichofikiri, na blah, blah kwa wingi , wewe msikilize tuu , akiwa ameongea Huku una process kichwani mwako. At the end akiomba.msamaha kama utamsamehe na kumkubali tena hii ni juu yako, naomba ufuate moyo wako utakavyosema, na kama ukiona you can't her back lakini umemsamehe pia hii ni moyo wako. Ndugu kama kwa namna yeyote vile mkarudiana naomba mkapime afya zenu , especially ya huyo aliyetoka nnje,huwezi jua amekuletea nini kwa kurudi kwake. Na kama mkiamua kuachana basi achanane kwa Amani sio kwa ugomvi na kununiana . Kuwa a Peace maker my dear and not a Peace breaker. Na ninajua its not easy, kumkubali MTU aliyekusaliti ,but piga moyo konde kwa kufanya kile utachokiweza , na usichokiweza basi acha . Pole sana kwa yaliyo kusibu, yana mwisho wake, okay. Kila la heri. Thanks!
 

Asante sana, kweli ni Hali ngumu sana ukiangalia Aibu aliyiisababisha kwangu na Kwa familia yangu nimekuwa gumzo mdomoni Kwa watu wengine walithubutu kunidhihaki Kwa namna walivyoweza kiukweli nina wakati mguu kwani nikimuacha aende nitaumia sana Kwa vyote nilivyotenda kwake eti anaishi Kwa mwanaume mwingine nitaumia sana na nikikubali arejee Kama awali nitadhataulika sana. Napata wakati mgumu sana jamani sijui nifanyeje mimi
 

Mimi penda sana wewe mamyto..ushauri makini.
 
Nilisema wazi kuwa " I am finding you , I will get you and I will kill you" lakini amerudi mwenyewe nimfanyaje?

Hujitambui, tafta maji ya betri unywe lita moja kwa wiki mbili tu utapona. yanasaidia kuwa na akili nzuri pia kuwa na msimamo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…