mwanza yote yangu
Senior Member
- Aug 28, 2014
- 141
- 30
watu wengine bhana mnatoa summary ya mnayokumbana nayo as if humu tunajua kilichokuwa kinaendelea.
Nilisema wazi kuwa " I am finding you , I will get you and I will kill you" lakini amerudi mwenyewe nimfanyaje?
E bwana usisahau basi kuja kununua jeneza na sanda hapa kibandani kwangu...
Kufa kufaana sheikh....
Yapata mwezi sasa baada ya kubeba vitu vyangu na kuondoka Kwa dharau na kusahau wema wangu nilioutenda kwake kwani nilimtoa akiwa Hana hata darasa moja ila sasa nimhitimu wa chuo kikuu. Baada ya malalamiko na kumtafuta kila kona bila ya mafanikio eti Leo hii amerudi, sijamsemesha chochote na namwangalia tu sijui nimfanyeje jamani?
Nilisema wazi kuwa " I am finding you , I will get you and I will kill you" lakini amerudi mwenyewe nimfanyaje?
teh teh! Karudi kama alivofungasha siku ya kuondoka au?
Tabia mbaya hii