Amerudi anachechemea

Amerudi anachechemea

kikao kimekubaliana binti asende shule mimi nisende job na wengine wote waache mambo twende hospital akapimwe japo naona kuna namna! halafu mtaani hakuna dogo kila kona ya mtaa ndo story watu hawalali
 
wallah pamoja na uzuri wake na maungo yake teketeke sijawahi kufikiria kumuwinda kwakuwa babaake ni namba nyingine kabisa

Mwambie mkeo....mueleze hisia zako. Hata likitokea la kutokea awe upande wako
 
ni kweli ila sijawahi hata kukatania zaidi ya wk iliyopita kukaambia kuwa kakivaa mini kanavutia mno

hapo tuuuu ndio ulipokosea, si unajua watoto wa uswazi akijua hapo pana kaopatuniti kukabadilisha mboga lazima akugande kama kupe
 
wallah pamoja na uzuri wake na maungo yake teketeke sijawahi kufikiria kumuwinda kwakuwa babaake ni namba nyingine kabisa

Humuwindi kwa sababu ya kumuogopa baba yake au kwa kuwa unaheshimu ndoa yako?
 
Ni binti wa baba mwenye nyumba under 18 na sasa wanamhoji kwa kina, mbaya zaidi jioni mi nilitoka na yeye pia alitoka na alinipigia simu ila sikujua kama ni yeye na wakati wa kurudi ni kama tulitanguliza. nahisi kuna mchezo nachezewa nivuruge ndoa yangu changa

Ndoa yako changa ya mke yuleyule ulielala naye ukweni au mwingine. King'asti mtani wako anakuita huku.
 
Last edited by a moderator:
Sijui mpare wa wapi ana stori za kizamani kama nini!
khaaa!

mshana jr, huko kwenu mafuriko yaliua watu wangapi?

Hahahah kumbe ushatia timu. huyu mpare mtafutie ajira kwa shigongo. vihadithi vyake vitamtoa sana kwa mapashkuna ya uswazi.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom