Amerudi anachechemea

Amerudi anachechemea

duh pole mkuu, kumbe unaweza pima kujua kama kaingiliwa au la
 
ahaaaaaaa? mwenzio alitafsiri umerusha kete, sasa hapo usikuta kana mimba!!!!!!! hama hapo kama hiyo ndoa unaitaka kabla yua huyo mkeo kurudi, vinginevyo unasababisha mke wako nae aende mchepukoni!!!!!!
 
allegation za ajabu mno wee acha nitafanya kweli sasa! lazima nikakule, hii si haki mtoto anasema kateleza wapambe wakiongozwa na mjumbe na baba wanamlazimisha akubali kuwa nilimminya ukutani pale kona ya mtaa nikampa mzizi nikamharibu USICHANA wake! hii sio haki hata kidogo

Koooote ulikuwa unazunguka Mshana Jr.. Hapo kwenye red ndo ulipokuwa unapataka.. Kajilie ila kumbuka bado kana akili za kitoto..
 
Last edited by a moderator:
Ni binti wa baba mwenye nyumba under 18 na sasa wanamhoji kwa kina,

mbaya zaidi jioni mi nilitoka na yeye pia alitoka na alinipigia simu ila sikujua kama ni yeye na wakati wa kurudi ni kama tulitangulizana.

Nahisi kuna mchezo nachezewa nivuruge ndoa yangu changa
mshana jr!!!!kuna wimbo niliwahi kusikia ...unaitika kabla ya kuitwa!!wewe nini shaka yako hadi ufikiri hayo yote!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom