Ni binti wa baba mwenye nyumba under 18 na sasa wanamhoji kwa kina,
mbaya zaidi jioni mi nilitoka na yeye pia alitoka na alinipigia simu ila sikujua kama ni yeye na wakati wa kurudi ni kama tulitangulizana.
Nahisi kuna mchezo nachezewa nivuruge ndoa yangu changa
Kwa wewe wakuchezeee tu maana ata hapa jukwaani wewe hodari kuwachezea wenzako kimawazo
Kama ni hivyo sawaaah wapi siku hizi kuna auto virgin remover binti hafiki la saba ishatoka! labda uzungumzie kupanua tu njia
wamechokoza nyuki nitakafumua sasa tena FULL VERSION...!!!
ilinidisturb mno hii ishu vizuri ni kuwa nilimweleza wife kila kitu na mazungumzo yote niliyarekodi mwanzo mwisho
aah wapi siku hizi kuna auto virgin remover binti hafiki la saba ishatoka! labda uzungumzie kupanua tu njia
JF raha sana aisee ukikaa vibaya unakwenda na maji sababu kunamijitu nimiongo hum aisee balaaa wanatunga vitu na wanavaa uhusika utafikiri ukwelii.
ukitaka kujua uongo wa watukuwa makini tuu kuzisoma thread au comment wanazochangia kunasehem unakuja kubaini uongo wao.
all in all burudani ndio kila kitu hapa jamvini
LEGE afadhali umelitambua hilo kwakuwa waweza kutoka mijasho kutoa ushauri kumbe changa la macho,.,!
MKUU ni Mara chache sana huwa najishugulisha kuchangia coz nafaham hum kuwa wengi ni waongo wakupindukia.
mfano mzuri ww unadai now ulikuwa kwenye kikao at the same time kuna thread nyingine umeanzisha kuwa unasikia sauti ya mabom naukisoma comment zako kunasehem unalaani kuwa wamekukatia stim zako za kuduu maana ulikuwa unaduu.
Ukija huku unadai wife hayupo home na unamajanga na binti wa baba mwenye nyumbaa.
JF raha sana aiseeeeee.