Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,778
- 55,513
Mhh majanga
kama ni hivyo worry not,ndoa yako ipo salamailinidisturb mno hii ishu vizuri ni kuwa nilimweleza wife kila kitu na mazungumzo yote niliyarekodi mwanzo mwisho
sina no yake niamini na hata yangu sijui kaipata wapi na alichoongea ni tofauti kabisa,alijifanya kakosea no
Hapana hatukuachana ilikuwa ndoa ya mkatabaYule mwanadada mwaka jana mlikuwa mnapinduana na kutulingishia humu mliachana
Vipi tunguli zilishindwa mpaka umeoa mwingine (ndoa mpya)
Hongera nadhani na huyu anakutafute uanzishe ndoa nyingine ndoa tarajari