Kuna sehem kachanganya mwanzo alisema alikua kwao hakuna umeme mara ameona anaingia kota ya jirani apo ndo picha imejifosi climaxMbona sijaelewa
Picha halikuhisia hapo sakayo subir uone kilichofuata
dada kwan hizo naniliu zinavujaje?Sasa amerudi wapi???? Mie nilijua ulilala hapo na yeye akalala kotaz halafu akarudi hizo naniliu zikivuja!!!!
Hivi hawakuacha viatu nje???
Hahadada kwan hizo naniliu zinavujaje?
kichwa cha thread kinachanganya.., hata comments nazo sizielewiHaha
Sijui hata
Pole jamaanikichwa cha thread kinachanganya.., hata comments nazo sizielewi
asante kwa kweli....Pole jamaani
Umefanikiwa kuisoma yote na kuielewa? Leo usiku utanihadithia...Sasa amerudi wapi???? Mie nilijua ulilala hapo na yeye akalala kotaz halafu akarudi hizo naniliu zikivuja!!!!
Hivi hawakuacha viatu nje???