Amerudi alfajiri akivuja manii

Amerudi alfajiri akivuja manii

Daaahh aiseeee pole sana mkuuu...story yako inasikitisha sana tena sanaa na inatia huruma .


Ndo maana siaminigi sana ktk mwanamke , mimi huwa napenda watoto tuu.

Ningekua Mimi ,,alafu nishamla ,,, ningemwacha Mara mojaaa,,, unajua nn ???? Ukimwacha nayule alomtia naye atamwacha tuuuu maana jamaa amemla huku akijua demu analiwa naww.( so hana mapenzi naye)..kwaiyo ye hapa atakua sio kitu ila MPOTEZAJI TUUH ,ATAKOSA MWANAMME WA MALENGO NAYE SO ATAKUA KAMA POPO

Lkn pia ukirudiana naye basi demu uyo atakua anakupa uchi sana akiamin ndo aarudish furaha yako ( so km unapenda sex hapo hapo kula zigo weeee alafu baadae UOE mwingine)

Mwisho ....NIDHARAU ATAKAZOKUWEKEA JAMAA KAZINI YAAAN ATAKUDHARAU SANA.


SASA BASI ,,KAMA NYIE WOTE HAMNA MPANGO NAYE,,,MMCHEZEE GEMU ,,, MJIFANYE MAPENDA LKN MOYON UNAJUA ,ALAFU MUWE MNAMTUMIA TUUUUU KILA MTU NAWAKAG WAKE .

BAADA YA HAPO KILA MTU ANAOA MWANAMKE WAKE SAFIIIIIUUUUU.


NB.iyo ndo dawa ya wanawake wapumbavu .
Aiseee MKUU ushauri wako wamoto sana
 
mbunye haina mwenyewe ukijifanya kumiliki utaishia kulia,tafuna toa kitu ipendeze zaidi kisha kimbia.
 
OK MKUU nipe ufafauzi juu ya hiyo App ya dumpster
Hiyo ni Apk ambayo unaweza kuidownload playstore, kazi yake ni kama Recycle bin katika computer, unachotakiwa ni kuidownload then una select vitu ambavyo vikifutwa havifutiki permanently vinajisave huko kwenye dumpster, kama voice call alizoongea,msg alizo futa, picha nk, cha umuhimu ni kuiweka hidden hiyo apk ili asiweze kuiona. kama una moyo zaidi download na voice call recorder ambayo itakuwa inarecord kila alicho ongeana kwa namba gani, Ni njia Rahisi ya kumjua mchepukaji.
 
Duh ningenawa na kila aina ya sabuni umeshika wazungu wa msela hahahaha
 
Huna swali la nyongeza kwa mtoa mada?
Sina swali kwa hawa vijana wa kileo. Kwasababu sisi wahenga tulifundwa ya ndani yanabaki ndani sasa hawa vijana hawa kaba ya ndani wanaweka nje. Zile tamaduni za jando na unyago kuna ulazima wa kurudishwa kwa nguvu na spidi zote. Vijana wanaangamia
 
Huyo kaka solution ni kuachana tu na huyo msichana kwani ni changudoa tu ambae huo mchezo ameuzoea tena bila condom, hapo VVU njenje - huyo ni muuaji tu. Aachane nae tu.
 
Kama huwezi kuachana na mtu usipange kumfumania.
Kama una kifua cha kumuacha ndo hizo ziara za kushtukiza na kuinstall ma app
Mambo mengine ni bora usijue ila wakati mwingine ni bora kujua kwanza siku hizi magonjwa mengi...labda Mungu anamuepusha
 
Sina swali kwa hawa vijana wa kileo. Kwasababu sisi wahenga tulifundwa ya ndani yanabaki ndani sasa hawa vijana hawa kaba ya ndani wanaweka nje. Zile tamaduni za jando na unyago kuna ulazima wa kurudishwa kwa nguvu na spidi zote. Vijana wanaangamia
Mhhh Zakiyah

Wewe ungeweza kuishi nalo moyoni hili?
 
Mhhh Zakiyah

Wewe ungeweza kuishi nalo moyoni hili?

Yes, ningeishi nalo mwenyewe na kuusikiliza moyo wangu unasema nn kwasababu unapotangaza jambo usitegemee kupata suluhu zaidi utadhihakiwa tu na kupewa maneno ya kuvunja moyo.
 
Natafuta mke.......niko serious kabisa.
Sifa
. Awe hana mtoto
. Miaka isizidi 30
. Awe mkristo mwenye hofu ya Mungu
. Awe tayari kupima afya
. Awe mtulivu na elimu angalau kidato cha nne
. Asiwe kivuluge kabisa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom