Amerudi alfajiri akivuja manii

Amerudi alfajiri akivuja manii

HUYO AMUOE TU! "Adui usiye mjua ni hatari zaidi kuliko yule unayemjua"
Huyo mwanamke kama atakubali kuolewa na John(kama ulivyomuita) huenda wakaishi maisha yenye furaha sana na hasa John. John hatakuwa na haja ya kumchunguza huyo mwanamke kwa kuwa ameshamfahamu tabia yake. Mwanamke naye atajichunga sana kwakuwa tabia yake imeshafahamika.

Hitimisho
Binadamu hana kanuni maalum.
 
Huyo bidada bila shaka ni mchafu, yaani anatembea na man.. zikimchuruzika? hata demu wangu wa tandale hafanyi hivyo
 
Stori ni nzuri ila umezidisha manjonjo hadi imepoteza mvuto..
 
Kuna sehem kachanganya mwanzo alisema alikua kwao hakuna umeme mara ameona anaingia kota ya jirani apo ndo picha imejifosi climax
Soma vizuri bila pupa hakuna sehemu palipokosewa mkuu
 
HUYO AMUOE TU! "Adui usiye mjua ni hatari zaidi kuliko yule unayemjua"
Huyo mwanamke kama atakubali kuolewa na John(kama ulivyomuita) huenda wakaishi maisha yenye furaha sana na hasa John. John hatakuwa na haja ya kumchunguza huyo mwanamke kwa kuwa ameshamfahamu tabia yake. Mwanamke naye atajichunga sana kwakuwa tabia yake imeshafahamika.

Hitimisho
Binadamu hana kanuni maalum.
MKUU kwahiyo kunahaja yakuwapatanisha na kuwaomba waendelee tuu?
 
Acheni kutujazia server kwa story zenu zisizo na flow ya kueleweka! Narration yoyote ili ilete uhondo uliokusudiwa ni lazima iandaliwe kwa kufuata principle zake! Tupende kushirikisha professionals kabla ya ku-publish!
 
Habari wakuu....

Walisema wahenga ukubwa jalala ila katika hili nililopokea hakika sasa najihisi nimekuwa dampo.

Nina jamaa yangu ambaye tumekutana nae kazini lakini kwasasa tumekuwa kama ndugu.
Amekuwa tukishauliana vitu vingi sana vya kimaisha, kimahusiano na hata kikazi. Naweza sema amekuwa msaada Mkubwa sana kwangu


Sku mmoja nakumbuka tulikuwa na kaubishi kakuelimisha jambo kuhusiana na mahusiano, pengine nishee nanyi mnipe pia mawazo yenyu kabla ya kuleta dhumuni la Uzi huu.


[BOLD]KATI YA MWANA MKE NA MWANAUME NI NANI HUWA ANAPENDA KUTOKA MOYONI NA KWANINI CHEATING HUTOKEA KWA WALE WENYE KUPENDANA????




Ndugu yangu anasifa moja kama sio tatizo nayo ni KUPENDANA kupindukia naweza kuita kufa kuoza sasa katika hili alikuja nalo nashindwa nimshauri vipi


John🙁sio jina halisi): "Kaka kama unakumbuka jana nilikueleza kuwa shemeji yako anasumbuliwa na vidonda vya tumbo?"

Me: Ndio kaka

John (sio jina halisi): Nilienda kumnunulia dawa nakisha kumuagiza mdogo wangu ampelekee,

Me: mhhh ikawaje?

John: Kwa muda tulikuwa tuna chart nilitaka kujua anaendelea ila ilipofika saa 12 walinitumia txt nakunambia kuwa simu inazima chaji. Pengine alifanya hivyo kunijulisha kuwa hatakuwa hewani mpaka kesho yake maana kwao hakuna umeme wa TANESCO ila solar naye huja kuchaji simu kwangu au kwa kaka yake .

Sikuwahi kuiona ile text kwakuwa nilikuwa mbali na simu nilikuja kuiona saa 1:30usiku nikaona niandae chakula kwanza nile kisha niende kumuona.

Ilipofika saa 3:30 nikaanza safari KWENDA kwake Mara baada ya kupiga simu yake Mara kadhaa bila majibu kwani hata sms hazikuwa nikifika.

Safari hii ya KWENDA kwake kama ziara za jushtukiza ndizo zilizoleta huu Uzi hapa


Aliendelelea John kunisimulia
"Wakati najiandaa Kufunga mlango nilimuona msichana akiwa anaingia moja ya nyumba za hapa kazini (kota) nilihisi kabisa niyeye kwani huyo mtuu alishawahi kumtaka na pengine kudate naye ila sikutaka kumchumia dhambi kwa kumhisi vibaya kwakuwa alionambia anaumwa sana na tumbo hivyo niliamini hawezi kutoka kwa siku ile. Nikafunga mlango na kuanza safari ila sijapata wazo lajupiga simu yake tena maana yule mwanamke(aliyekuwa anaingia nyumba ya jirani) alishika simu mkononi akimulika kwani huwa tuna sheria za kuzima taa za nje muda ya usiku zote ila haikuita


Hivyo nilijuipa matumaini kuwa siyo yeye maana angekuwa yeye ingeita pale mkononi mwake

Safari iliyo hukua dk 3 ukaanza na kufikia kikomo kwa shemeji yako"


Me : Bro hebu kunywa maji kwanza inaonekana umeghadhabika sana

John: akhsante kaka ila......

Me: ila nini kaka
John: Wewe acha tuu

Me: Kitu gani kilitokea??

John: Niligonga pasina kufunguliwa mlango kwakuwa nyumba ila milango miwili niliamua kuzunguka wanyuma.


Laaahaula nilipokelewa na na ukimya tena baada ya kugonga mda mrefu. Nikatamani kuondoka ila akili nyingine ikanambia hapana.

Nikaugeukia mlango na kujishika kitasa nacho bila hiyana kikaniitikia na kunikaribisha ndani.Mlango ulikuwa umerudishiwa tuu.

Nilipitiliza hadi chumbani niliamini pengine dawa zimempelakesha na kupitiwa na uaingizi mzito lakini haikuwa hivyo.

Nikipokelewa na miili miwili ikiwa imelala fofofo pale kitandani tena ikiwa imejifunika kanga


(Ngoja nipate lunch narudi)


Tuendelee......



John: Baada ya kugundua miili hiyo ni wadogo zake niliishiwa nguvu na kuzidi kusongwa na mawazo ndipo nilipoamini amini zike hisia zangu pale nilipokuwa nafunga mlango"

Ndugu yangu iliniuma sana nilikuwa nimezongwa na maamuzi lujuki kichwani mwangu .

Kuna wakati nilitamani nimwamshe mdogo wake mmoja aliyelala aende kugonga ule mlango nakunambia arudi nyumbani kuna tatizo ila nafsi ikakataa

Pili nilifikilia KWENDA mwenyewe ila nilijua lazima ningeamsha timbwili na yule mfanyakazi mwenzangu


Mwisho niliamua kuchukua simu yangu na kumpigia hapo nilijibiwa na wahudumu wa mtandao wa simu kuwa haipatikani.

John aliendelea kunisimulia ilivyokuwa huku nikiwa najaribu kutafakari ukubwa wa hili tatizo


John: Kaka baada ya kutafakari kwa muda niliamua kulala pale sebureni ili kumsubiri nikiamini kama niyeye akiyeenda kule basi ni lazima atarudi ALFAJIRI sana kwa kuhofia majirani na hata watu wengine wasimuone.

Nililala pale huku nikiwa nashtuka shtuka. Unadhani kaka hata ungekuwa wewe ungepata usingizi kweli???


Me: "Katika hali hiyo hata Mimi nisingepata usingizi" nilimjibu katika sauti ya upole

John: Hicho ndicho kilichotokea kwangu. Pale ilipotimu saa 10:30 niliamka na KWENDA kufungua kitasa cha mlango nakukiacha kama nilivokikuta wakati naingia ndani ili asije akaona tofauti nawakati pale alipokuwa anatoka. Kutoka na kiza kilichokuwepo ndani pale kwa kutokuwepo kwa umeme nilitumia simu yangu kumulika kuufikia mlango na kurudi katika kochi.



Nikiendelea kulala usingizi wa mang'amung'amu pale kwenye kochi nakuahtuka kila nilipokuwa nasikia kishindo nje, baada ya dk 10 kupiga niliamua KWENDA chumba cha kulia chakula(dinning) ambapo kulikuwa na zulia tuu nakuamua kujilaza hapo


Me: wakati huo wote je watoto waliokuwa wamelala ndani bado walikuwa hawajafahamu uwepo wako pale ndani? Nilimkatisha kidogo kwa swali

John: Hapana kwani hawakuamka kwa kipindi chote hiko

Me:OK tuendelee

John: ilipofika saa 11:00 ALFAJIRI nilisikia mlango unafunguliwa nilisimama nakuelekea mlango huo wa dinning na kusimama hapo.

Nilimuona akinyata akaenda chumbani kuwaangalia watoto, alipowakuta wapo akawa anatoka kuja dinning huku ameshika tochi. Alishtuka ghafra baada ya kuniona pale mlangoni nakukimbilia chumbani kwa watoto.

Baada ya kusimama kwa muda pale mlangoni nilienda chumbani nakumkuta amekaa kitandani huku akifunika uso wake kwa kanga,

Huwezi amini kaka nilitamani kumnasa makofi pale ila nashukuru niliweza kujizuia.

Nilimshika mkono na kumnyanyua pale tukielekea dinning room. Nilikaa chini huku yeye akiwa amesimama na kuegemea mlango. Nikiwa namtazama niliendelea kujiulizani swali gani nianze nalo.


Fffyuuuu nilishusha pumzi nakumuomba akae chini. Akisita kidogo baadae alikaa baada ya kumlazimisha na kuanza kumuuliza maswali kadhaa

John: Ulikuwa wapi wangu?
Mwanamke: Kimya......
John: Wangu si nakuuliza

Mwanamke: Kimya......

John: Nilimkamata kimahaba kukuonesha kama vile nilikuwa namuhitaji kimapenzi wala hakukaidi ila wakati wote alikuwa akifunika uso wake.

Haikuchuka muda mrefu kumuacha ntupu kwani hakuwa ametoka na nguo zaidi ya kanga moja aliyihifunga katika maziwa na nyingine amejifunika mabegani ( kanga ya mabegani ndiyo aliyoitumia kufunika uso)

Tarabibu nilifanya kama namuandaa baada ya kuiondoa chupi yake. Hapo ndipo nilipokutana na kichwa cha Uzi huu

Huwezi amini kaka nilipoweka kiganja maeneno Yale vidole vyangu vilirudi na unyevu wenye majibu ya maswali yangu yote juu yakile alichoenda kukifanyia.

Nilimuachia na kuanza kumuuliza nini anefanya. (Wakati huu machozi yakiwa yanamtoka john)


John: Kaka imeniuma tena sana kaka. Sikupanga kuachana nae ila najiuliza ni nini nifanye katika mazingira hayo??

Nivipi nitamwamini tena?

Kaka nahitaji msaada wako.

Me: Pumzika kaka kwanza na naomba uache kulia tupate kifungua kinywa.

Mara baada ya kupata kifungua kinywa nilimuomba apumzike atapoamka tutayajenga.
Namshukuru alinielewa na mpaka nakuja hewani hapa bado hajaamka.


Najiuliza na naomba kuwauliza wana jamvi nini nimshauri ndugu yangu kwa haya yaliyotokea?


Mpe pole, atulie tu Moyo utaamua.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom