Zwangedaba
Member
- Feb 1, 2009
- 99
- 25
Dah hii safi sana afanye na huku Bongo basi kuna viongozi vihele hele kwenda US kutanua wanachumia juani wanaenda kutanua kule akifanya hivyo bongo hapa list itatisha.
Hapo JK atakuwamo?
Dah hii safi sana afanye na huku Bongo basi kuna viongozi vihele hele kwenda US kutanua wanachumia juani wanaenda kutanua kule akifanya hivyo bongo hapa list itatisha.
"Kunyimwa visa" kuna imply waliomba wakakataliwa, na kwa mujibu wa nilivyosoma hii ni visa ban, wame/ watapigwa marufuku kuomba visa kama sehemu ya sanctions.
Just a minor observation.Kuna wengine wanaweza kukwambia "we don't want to go to America anyway" sasa kusema mtu kama huyo kanyimwa visa si sawa.
Mugabe naye anahitaji hii kama hawajampa bado, from both the US and the EU.
Hebu fikiria kama angekubali kushindwa mapema kabla ya alivyofanya baadae. Asingekufa mtu. Watu wamekufa, kapewa Uwaziri Mkuu bandia na magari ya ving'ora basi hadi 2012.
Basi hakuna hata haja ya kupiga kura!! Kwani kura zilikuwa bado hazijakusanywa vituoni bado! na pia Kivuitu alitangaza matokeo chini ya Police! Na yule Jaji alitolewa kanisani kwenda Kuhapisha Ikulu Kibaki chini ya ulinzi Mkali!
Hapo kweli ndo ungesema Raila ndo anamakosa? Wakenya tunawajua misimamo yao tokea Bungeni wale wanasimamia ukweli.
Kinachonishangaza ni Marekani baada ya kumbana Kibaki kwani kwenye list hayumo!
The rejected stone is now the cornerstone, sorta like the masterbuilder when I make my way home, you know my steez
- Guru/ Gangstarr "You Know My Steez"
Paraphrasing Mark 12:10-11, Thom 66, Matt 21:42.
Just for the bible thumping effect.
Luke 20:17-18
But he looked at them and said, "What then does this text mean: 'The stone that the builders rejected has become the cornerstone'? /18/ Everyone who falls on that stone will be broken to pieces; and it will crush anyone on whom it falls."
Y'all been warned, lol.
raila vipi kwenye list hayumooo???head of civil service francis muthaura (pnu)
deputy pm uhuru kenyatta (pnu) - minister for finance
agriculture minister william ruto (odm)
roads minister franklin bett (odm)
justice minister mutula kilonzo (pnu)
environment minister john michuki (pnu)
internal security minister george saitoti (pnu)
attorney general amos wako (pnu)
chief justice evan gicheru (pnu)
chief whip jakoyo midiwo (odm)
chief whip george thuo (pnu)
Mataifa yote ya Magharibi na Japan, South Korea n.k. yakiamua kuwanyima Visa mafisadi wote wa Tanzania itakuwa ni silaha kubwa sana katika ya vita ya kupambana nao.
Wamarekani hawawezi kuifanyia hii kitu Tanzania kwa sasa. TANZANIA SASA NI HOT CAKE (URANIUM, IRON, GOLD, NICKEL, PETROL, GAS) AMBAVYO NI VYABURE KABISA KWA WAMAREKANI, NI UKWELI USIOPINGIKA KAMA KWA UCHAFU (RUSHWA, UFISADI, MIKATABA MIBOVU) TUPO JUU SANA , LAKINI WAMAREKANI HAWAWZI KABISA KUIONGELEA TANZANIA VIBAYA KWA SABABU SISI SASA NI PERMANENT INTEREST, sio kweli kama wamarekani hawajuhi issue ya kina EL, RA,Chenge nk, ila wao sasa wanatupaka mafuta na kila siku tutasikia tu kuwa Tanzania sasa inasonga mbele na maseminar makubwamakubwa yataandaliwa sasa Arusha
I dont see kunyimwa visa ya USA as adhabu kwa mtu mwenye mabilioni yake, I dont even see hii ban itakuwa na impact gani kwao kwa kuwa hata kama wana deals zao wanazofanya na Americans- they can still do them on the phone and internet or evn send their friends there to represent them. Bado wakitaka kwenda kutumia hela zao on holidays- they have got so many other places to go, its pointless really.