America Plays Big Brother to Kenya.

"Kunyimwa visa" kuna imply waliomba wakakataliwa, na kwa mujibu wa nilivyosoma hii ni visa ban, wame/ watapigwa marufuku kuomba visa kama sehemu ya sanctions.

Just a minor observation.Kuna wengine wanaweza kukwambia "we don't want to go to America anyway" sasa kusema mtu kama huyo kanyimwa visa si sawa.

Mugabe naye anahitaji hii kama hawajampa bado, from both the US and the EU.
 
Mkuu,

the ishu ni kwamba..."mkiomba mtanyimwa"...kama sehemu ya sanctions.
Most of these people have ties to the west either in terms of business
or their families/ watoto going to school.

What will come hot on the heels of this thing itakua European countries
wata-follow suit. Kisha najua yule Ocampo ataanza naye kuprosecute
suspects of the 2007 election violence na most of these names will appear
on both lists.

Mugabe naye nadhani alikua ashapigwa marafuku marekani na Uingereza
and a couple of other European countries.
 
Hebu fikiria kama angekubali kushindwa mapema kabla ya alivyofanya baadae. Asingekufa mtu. Watu wamekufa, kapewa Uwaziri Mkuu bandia na magari ya ving'ora basi hadi 2012.

Basi hakuna hata haja ya kupiga kura!! Kwani kura zilikuwa bado hazijakusanywa vituoni bado! na pia Kivuitu alitangaza matokeo chini ya Police! Na yule Jaji alitolewa kanisani kwenda Kuhapisha Ikulu Kibaki chini ya ulinzi Mkali!

Hapo kweli ndo ungesema Raila ndo anamakosa? Wakenya tunawajua misimamo yao tokea Bungeni wale wanasimamia ukweli.

Kinachonishangaza ni Marekani baada ya kumbana Kibaki kwani kwenye list hayumo!
 
listi haijakamilika na kwa sasa napata habari kutoka Nairobi kua
tetesi ni kwamba yeye pia kapata hii barua. Angalia BBC
wanavyoripoti hii kitu with emphasis on the highlighted area
where Kibaki is the main culprit.

Kenyan concern at US travel ban

_46434955_-41.jpg

Hundreds died in weeks of violence following the election in 2007

The Kenyan government has expressed concern over a US threat to impose travel bans on 15 Kenyan officials who do not promote political reforms.
Foreign Minister Moses Wetangula told the BBC it was too soon to single out any individual for blocking reforms. He said the reform agenda was being implemented regardless of what individuals thought about it.

In recent months the US has criticised Kenya for failing to investigate deadly clashes after the 2007 election. A number of Kenyan politicians have been accused of being the ringleaders of the violence.

Some 1,300 people died, but officials have resisted calls for a tribunal - which was agreed during a mediation process that led to the setting up of a coalition government.

On Thursday, US ambassador to Kenya Michael Ranneberger said letters had been sent to the officials urging them to back reforms and oppose the use of violence.

But Mr Wetangula said that holding different views about the process did not mean that people were opposing reform.

"The reform agenda is on. I am sure that people hold different views about different issues about reform. I have not seen so far people I can clearly identify as standing in the way of reform," he told the BBC's Network Africa programme.

The BBC's Anne Waithera says the US has previously barred several Kenyan government officials from obtaining US visas over corruption allegations.

The latest threat comes days after Justice Minister Mutula Kilonzo said he would notify the International Criminal Court that the country would not be able to set up a local tribunal to try suspects of Kenya's post-election violence.

The names of key suspects involved in violence after the 2007 Kenyan election have already been given to the ICC by Kofi Annan, who brokered the power-sharing deal.

The names on the list have not been made public.

In recent weeks the US has also criticised President Mwai Kibaki's attempt to reappoint a much-criticised anti-corruption chief without parliament's approval.

http://news.bbc.co.uk/2/hi/africa/8274391.stm
 
The rejected stone is now the cornerstone, sorta like the masterbuilder when I make my way home, you know my steez

- Guru/ Gangstarr "You Know My Steez"

Paraphrasing Mark 12:10-11, Thom 66, Matt 21:42.

Just for the bible thumping effect.

Luke 20:17-18
But he looked at them and said, "What then does this text mean: 'The stone that the builders rejected has become the cornerstone'? /18/ Everyone who falls on that stone will be broken to pieces; and it will crush anyone on whom it falls."

Y'all been warned, lol.
 
Mkuu nadhani umeniacha naomba ufafanuzi tafadhali.
 
Wamarekani hawawezi kuifanyia hii kitu Tanzania kwa sasa. TANZANIA SASA NI HOT CAKE (URANIUM, IRON, GOLD, NICKEL, PETROL, GAS) AMBAVYO NI VYABURE KABISA KWA WAMAREKANI, NI UKWELI USIOPINGIKA KAMA KWA UCHAFU (RUSHWA, UFISADI, MIKATABA MIBOVU) TUPO JUU SANA , LAKINI WAMAREKANI HAWAWZI KABISA KUIONGELEA TANZANIA VIBAYA KWA SABABU SISI SASA NI PERMANENT INTEREST, sio kweli kama wamarekani hawajuhi issue ya kina EL, RA,Chenge nk, ila wao sasa wanatupaka mafuta na kila siku tutasikia tu kuwa Tanzania sasa inasonga mbele na maseminar makubwamakubwa yataandaliwa sasa Arusha
 
Itawasiri wakenya lakini kama hali kama hiyo wangewekewa Viongozi wa TANZANIA isinge wasiri kwani kwao ni sawa kama vilekumsomea mbuzi Gazeti.
 
Mataifa yote ya Magharibi na Japan, South Korea n.k. yakiamua kuwanyima Visa mafisadi wote wa Tanzania itakuwa ni silaha kubwa sana katika ya vita ya kupambana nao.
 
... a sincere smile kwa both Odinga and Obama. Lile kabila lingine lisije anza kudai Obama ana ukabila:)
 
head of civil service francis muthaura (pnu)

deputy pm uhuru kenyatta
(pnu) - minister for finance

agriculture minister
william ruto (odm)

roads minister franklin bett (odm)

justice minister
mutula kilonzo
(pnu)

environment minister
john michuki (pnu)

internal security minister george saitoti (pnu)

attorney general amos wako (pnu)

chief justice evan gicheru (pnu)

chief whip jakoyo midiwo (odm)

chief whip george thuo (pnu)
raila vipi kwenye list hayumooo???
 
Hivi Wakuu naomba kuuliza. What is the BIG DEAL kwenda USA? Kwa nini kutokuingia USA kuwe ni adhabu?? Sipati picha kabisa. Sielewi. What is so special there? Alafu kwanini USA ndo iongee? Where is UN? Nilitegemea statements za namna hii zitoke UN.

Naomba kuelimishwa.
 
I dont see kunyimwa visa ya USA as adhabu kwa mtu mwenye mabilioni yake, I dont even see hii ban itakuwa na impact gani kwao kwa kuwa hata kama wana deals zao wanazofanya na Americans- they can still do them on the phone and internet or evn send their friends there to represent them. Bado wakitaka kwenda kutumia hela zao on holidays- they have got so many other places to go, its pointless really.
 
Mataifa yote ya Magharibi na Japan, South Korea n.k. yakiamua kuwanyima Visa mafisadi wote wa Tanzania itakuwa ni silaha kubwa sana katika ya vita ya kupambana nao.

Mataifa ya magharibi hayawezi kuweka vikwazo kwa mafisadi wa Tanzania kwa vile hawana interest sana na nchi hizi zingine ambazo hazina wazungu walowezi kama vile Kenya, Zimbabwe, S, Africa na Namibia. Kipimo cha nchi za magharibi kwa nchi kama Kenya ni kikubwa kuliko cha nchi jirani za Tanzania na Uganda.

Mfano ni ile scandal ya Anglo Leasing huko Kenya ambayo wakubwa waliunda kampuni hewa ya kutekeleza miradi mbali mbali ikiwemo ya vitambulisho. Bwana Githongo (Katibu Mkuu- Good Governance) akapiga filimbi na uchunguzi ukafanyika ambao matokeo yake bado mpaka leo hayajatangazwa hadharani. Lakini hata hivyo Uingereza ikachukua hatua ya kuwanyima visa baadhi ya washukiwa (kabla matokeo ya uchunguzi) wakiwemo mawaziri mpaka leo hawawezi kukanyaga Uingereza.

Sisi hapa kwetu Karamagi alisaini Buzwagi hewa kule kule Uingereza tukapiga kelele lakini wapi? Wizi balaa wa EPA umedhibitishwa na maodita wa kimataifa na tulitegemea wale wote waliotuhumiwa na ambao angalau wako Kisutu wawekewe vikwazo fulani (hata kama ni symbolic) na hizi nchi za magharibi lakini waliishia kukutana na waziri Membe wakanywea! Talk about double standards.
 
Wamarekani hawawezi kuifanyia hii kitu Tanzania kwa sasa. TANZANIA SASA NI HOT CAKE (URANIUM, IRON, GOLD, NICKEL, PETROL, GAS) AMBAVYO NI VYABURE KABISA KWA WAMAREKANI, NI UKWELI USIOPINGIKA KAMA KWA UCHAFU (RUSHWA, UFISADI, MIKATABA MIBOVU) TUPO JUU SANA , LAKINI WAMAREKANI HAWAWZI KABISA KUIONGELEA TANZANIA VIBAYA KWA SABABU SISI SASA NI PERMANENT INTEREST, sio kweli kama wamarekani hawajuhi issue ya kina EL, RA,Chenge nk, ila wao sasa wanatupaka mafuta na kila siku tutasikia tu kuwa Tanzania sasa inasonga mbele na maseminar makubwamakubwa yataandaliwa sasa Arusha

Dah!

Dah!
 
I dont see kunyimwa visa ya USA as adhabu kwa mtu mwenye mabilioni yake, I dont even see hii ban itakuwa na impact gani kwao kwa kuwa hata kama wana deals zao wanazofanya na Americans- they can still do them on the phone and internet or evn send their friends there to represent them. Bado wakitaka kwenda kutumia hela zao on holidays- they have got so many other places to go, its pointless really.

That is the POINT!
What is the BIG DEAL here NAULIZA?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom