Amercan billionaire howard buffett in serenget

Hasante Mama Mdogo hapo juu. Natumaini muanziaha mada atarudi na jibu. Kwenye picha ni kama Nyarandu anampa zawadi ya kudu aliyekaushwa. Kwani alikosa pesa ya kujinunulia mwentewe? Jinsi tunavyoliwa inawezekana huyo safari yake yote amaelipia kwenye kampuni ya Kimarekani huko kwao na kuruka moja kwa moja mpaka Serengeti. Hakuna bidhaa wala huduma yoyote aliyolipia akiwa hapa. Matokeo: Marekani 10 Tanzania 0. Ni yale yale ya kumfadhili journalist halafu anawalipua.

great thnka,,,,take 5,thumb up
 
Hasante,muanziaha,nyarandu,mwentewe,amaelipia??? Nimepata kiwewe na kizunguzungu kabisa kusoma hii post...dahhh
 
Kumbe kuwa mtoto wa bilionea nawe unakuwa bilionea? Maana huyu Howard utajiri wake ni kama US$ 200 milioni; wakati baba yake ni kama US$ 59 bilioni!!
 
Back
Top Bottom