Amepigwa paka, jirani analalamika

Amepigwa paka, jirani analalamika

Wewe ndio hujaelewa nilichoandika kwasababu ubongo wako umeshangamizwa na kutu ya ushirikina! Ni kawaida kabisa watoto wanaporusha mawe kupiga mnyama/wanyama kama paka walioko kwenye makazi ya watu kujeruhi watu kwa bahati mbaya. Yeye anaweza kuwa alikuwa anamlenga paka aliyekuwa kwenye ukuta au kichaka lakini kwa nyuma kuna makazi au mtu! Tuache imani potofu!
Bila shaka wewe utakuwa mhusika wa hilo jambo. Haiwezekani mtoa mada aeleze kinaga ubaga jambo husika wewe ulipinge kwa ubishi wako wa kuilinda hiyo jamii ya hao washirikina wenzako eti ni kupiga paka tuu iweje aseme watu! haliyakuwa aliepigwa ni paka! Unahusika nini mbona unapindisha mada!
 
Endelea kuamini ushirikina. Wajanja watakula sana fedha zako kukuzindika na mizigo ya hiziri zisizo na faida bali kukuongezea uzito wa kubeba!
 
Endelea kuamini ushirikina. Wajanja watakula sana fedha zako kukuzindika na mizigo ya hiziri zisizo na faida bali kukuongezea uzito wa kubeba!
Huna imani za kishirikina huku unaamini paka anaweza kuwa mtu? Tena karne yetu hii? Kweli wajinga hawaishi duniani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom