Amepata mchumba mwingine

Amepata mchumba mwingine

Pole weeh...unatia huruma..kiukweli hilo lilikua ni jaribu na hakuwa wako plz let it go..huezi jua mungu amekuandalia nini mbeleni..pole sana

kama ndoto kumbe gaza ulipona chupu chupu
 
''Mwanamke ni property ya familia'' Are you confortable kuitwa hivyo au kuwa hivyo.... and what it does actually mean? and what is the intended meaning? na ni kweli iko hivyo?

Hio ni kauli inayokera na kuwasha masikio kumuita Mwanamke hivyo....
Si kauli nzuri sababu na wewe mchaga???
 
''Mwanamke ni property ya familia'' Are you confortable kuitwa hivyo au kuwa hivyo.... and what it does actually mean? and what is the intended meaning? na ni kweli iko hivyo?

Hio ni kauli inayokera na kuwasha masikio kumuita Mwanamke hivyo....

Hapo nimekuelewa sana,big up kwa kuugundua mtego wangu!!!!! Loh! Uko vizuri wangu. Kweli mwanamke hapaswi kuitwa hivyo.
 
Asee dada mm pia nina experience kubwa sana na ayo mambo, in short wanaume walio wengi wana iyo kitu yaani anakuwa na mchumba wke ambaye ndio mwenye mapenz naye kwa dhat na aliye na future naye ambaye pia hamchezei kingono lakini anatafuta msichana mwingne kwa ajili ya kuondoa matamanio yke tu ya kingono baasi

Kwahiyo dada hyo mwanaume wala alikuwa hakupendi wala nn, muda wake umefika wa kuoa ndo analeta kisingizio cha kuchaguliwa mchumba,muongo uyoo wala hajachaguliwa wala nn chaguo lake mwenyewe ilo
 
Wana MMU habari.

Yamenikuta mie. Boyfrend wangu anatakiwa kuoa mchaga mwenzake na mie sio mchaga yaani ni shidaaa.

Mchumba kapatikana uchagani na process zote ananijulisha. Ingawa anaoa hataki tuachane.

Duh! Mazito ndugu zangu.

Nipeni ushauri au ata pole yatosha

Pole sana! Safari moja huanzisha nyingine.... Twende zetu kama kweli unataja mume nifuate...!
 
feel lovely
have a flower
and i will meet you
after an hour
let me have shower
to regain my power
and be higher
sweet and not sour
Heaven Sent

OMG, need I say more?? I feel honoured that u took the trouble to write this for me. I am incredibly grateful to u. Thanks loads REALITY
 
Last edited by a moderator:
Asee dada mm pia nina experience kubwa sana na ayo mambo, in short wanaume walio wengi wana iyo kitu yaani anakuwa na mchumba wke ambaye ndio mwenye mapenz naye kwa dhat na aliye na future naye ambaye pia hamchezei kingono lakini anatafuta msichana mwingne kwa ajili ya kuondoa matamanio yke tu ya kingono baasi

Kwahiyo dada hyo mwanaume wala alikuwa hakupendi wala nn, muda wake umefika wa kuoa ndo analeta kisingizio cha kuchaguliwa mchumba,muongo uyoo wala hajachaguliwa wala nn chaguo lake mwenyewe ilo

Inauma ila kweli bana.
 
mnafki huyo,anataka akufariji ukubali matokeo halafu aendelee kukutafuna,kashakuambia kata mawasiliano mazima,angejua umuhimu wako asingelazimishwa kuoa mchaga mwenzake,hicho kisingizio tu katafuta.Kama unajielewa achana naye tu.

Dah Yaani hili jibu ndio limefunga discussion kabisaaaa, Hakuna mtu anaetafutiwa mchumba saa hizi huyo jamaaa yake anajaribu kumfool ili atimize amzima yake tu. Ndio Tatizo la dada zetu ni rahisi sana kudanganywa!!!! Hata mimi wakati naoa I did the same. Nisamehewe bure
 
Twende wapi sasa mimi na katasan'kaza?

Kwani ulikuwa unaenda wapi? Au ndiyo maana umeachwa maana ujui ulikuwa unaelekea wapi...? Shangaza mimi wewe nenda kwa pm kuna ushauri nimekutupia pale ukikufaa poah...
 
huwa wanafuata kile ulichompa huyo chagaman sasa kwa nini unalialia kama unafikiri mwanamke na mwanaume wako sawa? jitunze dada usije kumbuka shuka jogoo anawika.

Wote tuna makosa sio wadasa tu bana.ye katoa zip mi nkaacha miguu waz. Na wote tume ..... tatizo likitokea lawama kwa wadada. Eti tunajirahisisha. Kwan sie hatuna hisia jaman.
 
pole yako mdada hay mapito tu rud mungu atakupa mume mzur sana.
 
OMG, need I say more?? I feel honoured that u took the trouble to write this for me. I am incredibly grateful to u. Thanks loads REALITY

You deserve the best
cos yournt worst
hey have a juice
and a fillet froast
if you fill cold
let me know
i will handle my leather coat
singing a nice song to you will never heart my
throat and never in you
have doubt
feel you with a pleasant smell,you feel frightened ring a bell
my power,mind and body cells will never let you been locked in a pain cell.
your a sweet queen
in a palace of a wise king,should i let my birds sing?should i?or should i give you an engangement ring?
heaven sent
to defend you
i am in a front
like you
Heaven Sent
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom