Amepata mchumba mwingine

Amepata mchumba mwingine

Hakupendi,
Anataka aendelee kukumega kirahisi rahisi tu,
Piga chini jipange upya.
Unamlilia mtu ambaye hakupendi?
 
pole mdada hata mimi imenitokea sahv nimeamua nitulize akili tu mungu atatenda yake
 
huhuyo alikuwa hakupendi kakupinga changa tu kwa stail hiyo hamna vitu izo siku hizi alikuwa na mchumba wake toka kitambo huyo
 
NAHISI KAMA WEWE NI MKUU WA DINI YEYOTE, FANYA HIMA UMBATIZE KABILA BASI

Akihitaji hii sevisi anaweza niPM, atachagua kabisa aitwe Massawe, Shirima, Mramba, Shayo....etc
 
Tatizo siyo kabila lako tatizo ni kuchanua miguu yako jamaa akamega mkate anaona huna jipya acha akaoe aliyejitunza.
 
Akili za kuambiwa changanya na zako unasubiri nn hapo au unataka akwambie uwe maid kwenye harus yake ndio ujue kakuacha??
Ondoka mama kaanze maisha mapya haikua riziki yako usjal mungu atakusaidia utapata na wewe wa kabila lako(joke).....
Ila usiweke kinyongo wala kuwaza kulipiza kisasi.....................
 
Wana mmu habari,
Yamenikuta mie. Boyfrend wangu anatakiwa kuoa mchaga mwenzake na mie sio mchaga yaani ni sheeeeda!!!

Mchumba kapatikana uchagani na proces zote ananijulisha. Ingawa anaoa hataki tuachane. Duh! Mazito ndugu zangu. Nipen ushauri au ata pole yatosha

Everything happens for a reason. Inawezekana ndio njia Mungu aliyochagua kukupa mume bora. Mwache huyo anza upya.
 
Hakupendi,
Anataka aendelee kukumega kirahisi rahisi tu,
Piga chini jipange upya.
Unamlilia mtu ambaye hakupendi?

wajinga ndiyo waliwao atamwambia alilazimishwa na wazazi kuoa mchaga ila alitaka amuoe yeye hehehehe halafu anajiabia nafsi yake ni kweli ananipenda.
 
hahahahaaaaaaaaaaaaaaaaa daddy jamani

oo.jpg


hhheheheheheheheheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee mbavu zangu mie jamani

ll.jpg pp.jpg uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii iiiii daddy jamani wewe acha tu
Fanya mpango wa kubadilisha kabila chap chap...

Watu siku hizi wanabadili hadi jinsia, nini kabila...
 
Ndio!

mwanamke akishafika 30 ujue ni majanga! ni bora muambiwe mapema kabla maji hayajamwagika!

Kama hana cha kufanya, basi ni bora afanye moja la kueleweka!
queenlishas hebu funguka dada wababa wa humu nao tuone kama tunaweza kujibeba! lol

Hiyo kali....nakuachia maana hii debate wala haiwezi kuisha
 
Last edited by a moderator:
Kwa wachaga mke ni "family property".....kwa vyovyote wewe usingekubalika kwao.....achana nae...fastaaaa
 
point yako ni kama ya kweli vile

tatizo la wadogo zetu siku hizi wanajirahisi sana tena sana
ndo maana matatizo kama haya hutokea kwanini ni kutokana
na kujirahisi kupita kawaida wewe ukijitunza unafikiri niini ki
kitakudhuru , au UTAPUNGUKIWA NA NINI? yaani dunia imeshaharibu ndugu
hakuna tena uthamani wa mwanamke wengi wetu wanajirahisi kisa sijui nini?

au sijui ndo kwenda na fashion au sijui nini kinachotafutwa yaani kweli mambo
yameparagharanyika bestito

Tatizo siyo kabila lako tatizo ni kuchanua miguu yako jamaa akamega mkate anaona huna jipya acha akaoe aliyejitunza.
 
Pole, lakini haitoshi. Huyo jamaa yako hana akili nzuri, keshakupotezea muda sasa anataka kukufanya kasmall hse! Aisee hada adabu kabisa.

Hebu komaza akili achana naye, wanaume tupo wengi; ni wewe utulie tu.
 
best wako wanaochaguliwa ndugu tena na wao wako kimya utadhani wamemwagiwa tindikali midomoni hawana ujanja wa kutafuta wao best mambo haya yapo hata sasa
Umeona eeh, dunia hii ya leo uchaguliwe mke? Thubutu!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom