ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,589
point yako ni kama ya kweli vile
tatizo la wadogo zetu siku hizi wanajirahisi sana tena sana
ndo maana matatizo kama haya hutokea kwanini ni kutokana
na kujirahisi kupita kawaida wewe ukijitunza unafikiri niini ki
kitakudhuru , au UTAPUNGUKIWA NA NINI? yaani dunia imeshaharibu ndugu
hakuna tena uthamani wa mwanamke wengi wetu wanajirahisi kisa sijui nini?
au sijui ndo kwenda na fashion au sijui nini kinachotafutwa yaani kweli mambo
yameparagharanyika

Hakupendi,
Anataka aendelee kukumega kirahisi rahisi tu,
Piga chini jipange upya.
Unamlilia mtu ambaye hakupendi?