Mume ameniacha, kaenda kupanga nyumba sehemu nyingine, ananiambia tuachane sababu hatufanani.
Mbaya ananitumia meseji kila siku usiku akiniambia jinsi gani ananimiss na kuwa ni jinsi gani moyo wake unamuuma kwa kuniacha ila inambidi aniache tu.
simjibu. Anaamini baada ya muda haya maumivu yatatuisha na tutaanza upya.
Ananiombea nipate mume mwingine and it is a strong christian marriage.
Nimeumia sana ila sasa naona moyo umeanza kuchukulia kwamba ndiyo hali halisi, ila nimefedheheka sana kujua I married a person mwenye akili za aina yake.
Nilikuwa naamini ana akili njema sana.
Sijui nani kamloga baba mtoto.