Amenipa tiketi ramsi ya michepuko

Amenipa tiketi ramsi ya michepuko

MUBIKU

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2014
Posts
284
Reaction score
388
Mtihani ninaokutana nao kwa huyu binti ,sikuwa na nia ya kutafuta michepuko lakini itanibidi, amekuwa MTU Wa visingizio , lawama ninapokuwa namuhtaj kimapenzi (sex) kisingizio sija muoa .
Hivyo hapendezwi na kufanya nae mapenzi Mara kwa mara
Chakushangaza anatambua fika mwaka 2020 nataka kumuoa.
ila kuanzia Leo 6/9/19 nime dhamiria kutofanya nae sex (Mara kwa Mara km anavyodai yeye) hivyo itanibid kutafuta mchepuko maana nimechoshwa kumsihi swala hili. Nilishawah kumueleza na sex nae Mara kwa Mara sababu sihitaji michepuko na wala sina lakin nimeona haelewi , hivyo kwavile asikii nanyamza na kuamua kuwa na mchepuko ili nimpumzishe.
 
Mtihani ninaokutana nao kwa huyu binti ,sikuwa na nia ya kutwwwwwwww, lawama ninapokuwa namuhtaj kimapenzi (sex) \eew
ila kuanwwwzia Leo 6/9Wwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwww/19 nime dhamiria kutofanya nae sex (Mara kwa Mara km anavyodai yeye) hivyo itanibid kutafuta mcee was sewwwhepukowww maana nimechoshwa kumsihi swasababuwwwwwwwwwww we re|||eeeewwwwwwwi. Nilishawah kumueleza na wsex nae Mara kwa Mara sababu sihitaji michepuko na wala sina lakin nimeona haelewi , hivyo kwavile asikii nanyamza na kuamua kuwa na mchepuko ili nimpumzishe.
 
Mtihani ninaokutana nao kwa huyu binti ,sikuwa na nia ya kutafuta michepuko lakini itanibidi, amekuwa MTU Wa visingizio , lawama ninapokuwa namuhtaj kimapenzi (sex) kisingizio sija muoa .
Hivyo hapendezwi na kufanya nae mapenzi Mara kwa mara
Chakushangaza anatambua fika mwaka 2020 nataka kumuoa.
ila kuanzia Leo 6/9/19 nime dhamiria kutofanya nae sex (Mara kwa Mara km anavyodai yeye) hivyo itanibid kutafuta mchepuko maana nimechoshwa kumsihi swala hili. Nilishawah kumueleza na sex nae Mara kwa Mara sababu sihitaji michepuko na wala sina lakin nimeona haelewi , hivyo kwavile asikii nanyamza na kuamua kuwa na mchepuko ili nimpumzishe.
Ww\www\we
 
Wwwwwww
 
ila kuanzia Leo 6/9/19 nime dhamiria kutofanya nae sex (Mara kwa Mara km anavyodai yeye) hivyo itanibid kutafuta mchepuko maana nimechoshwa kumsihi swala hili.
Heee, kumbe hata hujamuoa unataka awe anakukubalia kila ukitaka? Inaonekana humpendi unataka tu sex. Suala la kusema nimemwambia nitamuoa 2020 siyo hoja. Inaonekana ana akili kuliko wewe, na anajiheshimu sana.

Kwanza wewe mpagani? Huko unakoenda hujafundwa kwamba kufanya mapenzi na mchumba wako kabla ya ndoa sio jambo zuri? Na umejiuliza kama yeye masuala ya uwajibikaji kidini anayachukulia serious kiasi gani? Utamlazimishaje kitu ambacho kinamuumiza dhamiri yake kama unampenda kweli?
 
Mpumzishe mtoto wa watu tena mwache usmpotezee mda,unamzibia riziki
 
Mtihani ninaokutana nao kwa huyu binti ,sikuwa na nia ya kutafuta michepuko lakini itanibidi, amekuwa MTU Wa visingizio , lawama ninapokuwa namuhtaj kimapenzi (sex) kisingizio sija muoa .
Hivyo hapendezwi na kufanya nae mapenzi Mara kwa mara
Chakushangaza anatambua fika mwaka 2020 nataka kumuoa.
ila kuanzia Leo 6/9/19 nime dhamiria kutofanya nae sex (Mara kwa Mara km anavyodai yeye) hivyo itanibid kutafuta mchepuko maana nimechoshwa kumsihi swala hili. Nilishawah kumueleza na sex nae Mara kwa Mara sababu sihitaji michepuko na wala sina lakin nimeona haelewi , hivyo kwavile asikii nanyamza na kuamua kuwa na mchepuko ili nimpumzishe.
Kuna mahali unatakiwa kupaweka sawa kwenye maisha yako kabla hujaingia kwenye kifungo cha maisha.
 
Back
Top Bottom