Kidume cha mbegu
JF-Expert Member
- Jun 14, 2015
- 1,251
- 710
HahahaaUache mambo ya kimama kwanza ndio maana Ana kuweka hapo ujifunze, lol
tongoza wote kwenye group. ila inawezekana ulikuwa na majungu majungu na umbea kama mtoto wa kike ndo maana akakuweka kwenye hilo group unavutiwa siku usutwe.Habari zenu wana jf
Nilikuwa na mahusiano na mdada mmoja nikaamua kumpiga kibuti,baada ya kumpiga kibuti nimeshangaa kukuta ameniadd kwenye group la wanawake wenzake waliyosomaga
Pamoja shule ya wadada watupu
Nikijitoa ananiadd tena nikimwandikia text ya kumwambia anitoe hajibu ,,,,
Sasa mimi napokea sms za wanawake tu whatsapp yani sipend sipend
Niilikuwa naomba msaada wa anayejua kujitoa kabisa whatsapp kwenye ligroup lao la wanawake au mnifanyeje huyu mdada? Maana nimechoka kupata matext ya kijinga na umbeya tuu
HSasa nikianza kuwatongoza si ndiyo watanza kunisema ,,kama ni namba zao njoo inbox takupa zote ila uwe makini na wew wasikuaadd ,Yaani mi nakushangaa...amekupeleka kisimani unashindwa kunywa maji? Mi nifowardie namba za hao wenzake at least 10, wazuri wazuri nikuoneshe kazi...UKIONA nyoya tu, jua kaliwa we hesabu tu
Labda kuna kitu anataka ujifunze mkuu MPE mda kwanzsHSasa nikianza kuwatongoza si ndiyo watanza kunisema ,,kama ni namba zao njoo inbox takupa zote ila uwe makini na wew wasikuaadd ,
0
Haya ila kuadd kwenye group la madada aiiiseeLabda kuna kitu anataka ujifunze mkuu MPE mda kwanzs
Ni exist au delete baada ya kama dk Tano wananiadd tenaInamana Hiyo Whatsup yako nitofauti natunazo tumia, au wewe ni mgeni wa kitufe cha delete/Exit
ina mambo kike mimiAmeona una mambo ya kike.
asa kama ni wew ungefanyeje kila ukijitoa wanakurudisha tenaSasa hilo nalo lakuomba ushauri kwel
Inabidi aanze na admn... Haaaaaa utani tyuYani umepelekwa kwenyewe anza kugegeda mmoja mmoja hadi waishe wote.