Ameni-dump kwa mara ya pili

Ameni-dump kwa mara ya pili

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,350
Amenidump kwa mara ya pili. Nilikiuwa na mahusiano na mwanaume huyu kwa miaka mitano kabla hajaniacha na kwenda kuoa. Nilipoteza mawasiliano nae kabisa na kumfuta kwenye moyo wangu. Ndoa yake ilisambaratika akaanza kunitafuta tena, alirudi mwaka 2010 lakini moyo wangu ulisita kumpokea tena.

Yeye anaishi Songea ndio anakofanyia kazi, katiak hali ya kibinadamu nilisema nisiweke kinyongo rohoni, nikawa ninachat nae. Wiki mbili zilizopita alinitaarifu kuwa anakuja kwenye mkutano DSM na angependa tuonane. Nilionana nae, tuliongea sana, mwisho wa siku nilikuwa ninalala kwenye hoteli aliyofikia, asubuhi ninakwenda kibaruani kwangu.

Mkutano ulikuwa ni wa wiki moja, nikajua tunafungua ukurasa mpya wa maisha, tuliongea, nikamwonyesha sehemu mpya za maraha ya jiji. Baada ya mkutano kwisha, amerudi Songea amekuwa mvivu wa kuchat, nikipiga simu, hapokei, mwisho wa siku amenitolea uvivu kuniambia anauhusiano mwingine huko kwahiyo hataweza kuwa na uhusiano mwingine na mimi.
Nimejiona mpumbavu sana kumruhusu binadamu huyu kuchezea moyo wangu kwa mara ya pili.
 
Mpaka anakuja huyu mwanaume sikuwa nimefanya mapenzi kwa miaka miwili, uone tu jinsi ninavyojiheshimu.

Hayo ndio yanaitwa maisha, one mistake two goals, mwenzio alikuwa anatafuta kipozeo maana Dar baridi. Kutoa pichu sio guarantee, ndio shida ya kuongozwa na moyo zaidi kuliko ubongo

Pole sana, it's not the end of the world.Move on
 
Pole shogaaa! MEN ARE DOGS! mbwa unamfuga mwenyewe ukimchekea bado anakubwekea mwenyewe. Shwainiiiiiii

Mi mwenzio shogaaa siku hizi bila kuiona pesaaaa hivi, sitoi CHIU! Yaani SITOIIIII. I love you zijae kiroba na kumwagika, chupi imetulia kiunoni. Ukicheka na wanaume watakukopa kila siku bila riba. Ooooooohhhhhh! Mtu hata nimpende vipi asipojiongeza kufungua pochi tutapiga story basi. Chezea wanaume wewe.


Ila wanaumewema wapo wapo wachache wakuhesabu. Nashukuru Mungu jf humu miaka 3 juzi ndo kuna danga moja nimelibaatisha juzi, lilikuwa siku nyingi linajiongeza ila nikawa sijalichukulia serious, toka 2012 juzi hapa ndo nimeligundua, kila siku linanitoa 100,000/=. Nikifanya koooh 100,000/= hii hapa. Niseme nini. Hanijui simjui, haliombi chiu wala nini. Just kindness. Sahivi nimeambiwa nitafute biashara anikopeshe hela mpo hapoooo? Haloooooo! Mtu na nyota yangu. Humu humu JF wala sio mbali. SO GOOD MEN ARE STILL THERE ILA NDO ONLY FEW. Hili danga likiendelea hivi nitalifosishia chiu kwa nguvu tka lisitake.:becky: Na silitaji ngoooooooooo hamkawii kuni overtake! Hangaikeni na hayo hayo masanturaaaa ya mkopo!:becky: Ngoja niishie hapa mdomo uliponza kichwa! Okay Bye!
 
Huyu jamaa akirudi tena kulia lia kwako utampa papuchi.
 
Mimi nasemaga bora niongeze idadi ya wapita njia kuliko kurudia matapishi.....hapo kakudharau sana sana!! mpotezee japo unaumia sana endelea na maisha kama awali

chukua soda kwa mangi nakuja kulipa
 
Asee...pole sana.Uaminifu na upendo wako ulikuwa katika windo la jahili.Na umemjua,anza ukurasa mpya wenye tahadhari mkuu.
 
Wacha we kwa iyo lini tulianza bweka na kuota mikia
Na mtatukoma kutujua kweli ule usemi,'hakuna mkate mgumu mbele ya chai'
najua utakua umenielewa

Aaaaaaaah wapi! Kasome upyaaa nimeboreshaa zaidi usemi wangu.
 
Haya ni kawaida sana katika ulimwengu wa mapenzi, sema tu wengi hawasemi, pia kukaa two years bila kukulwa nakupongeza sana aisee! Endelea kufurahi maisha yako wala hakuna haja ya kuumia!
 
We are, different breeds, different training. And dogs can only fvck female dogs, also known as b*tches.

SO TRUE AND THIS BEACH GOT LUCKY THIS TIME IS ABOUT TO BANG A GERMAN SHEPHERD!!!!!!!!! Chiwawa take several seats back and pack well jor! Its gonna be a long ride. I have edited make sure you read!:becky:
 
Back
Top Bottom