amemaanisha nini ?

amemaanisha nini ?

hahahaha hapana mkuu, nimekaa nae room mara moja tu, na hiyo siku ndipo nilimwambia nampenda akasema tuwe marafiki tu,nikapotezea stori za mapenzi,nikawa nampigisha stori zingine tu mpaka usiku sana nikaondoka
Hapo ndipo ulipokosea mkuu,ulitakiwa siku hiyo umalize kila kitu;kwa mfano,'kuna dada fulan alijilengesha kwangu (namba 8) nikatuma kijana wangu aniletee mawasiliano yake,nikaanza kuchat naye siku hiyo na baadaye nikampigia simu,na kutumia nguvu ya kianaume na tukapeana appointment ya kufanya mazungumzo na alishauri sehemu iwe yenye utulivu.Nikatafuta lodge moja nzuri nzuri na kulipia chumba chenye utulivu kwa ajili ya mazungumzo....baada ya hapo nikamtumia usafiri,na akafika eneo la tukio ingawa aliniuliza kwa nini nimechukua chumba,nikamjibu kuna mazungumzo yanayoitaji utulivu nami sipendi yale mambo ya kuonekana onekana;basi kila mmoja akawa amekaa kwenye kiti chake huku tunapiga vinywaji na stori mbali mbali za maisha,baadaye tukajikuta kila mmoja anakata kiu ya mwenzake.' Hii inamaanisha si wote watakuambia mfanye tendo,mambo mengine ni wewe tu ujiongeze hasa kivitendo.
 
Back
Top Bottom