amemaanisha nini ?

amemaanisha nini ?

hahahaha hapana mkuu, nimekaa nae room mara moja tu, na hiyo siku ndipo nilimwambia nampenda akasema tuwe marafiki tu,nikapotezea stori za mapenzi,nikawa nampigisha stori zingine tu mpaka usiku sana nikaondoka
Duuuh kumbe ni hivi basi ndo mana kakujibu hivyo aisee, ilitakiwa ugonge mzigo tu , mambo ya kuanza kusema nakupenda wakati mko chumbani ndo nn sasa, mm dem nikimkaribisha magetoni kwangu na yy akajichanganya akaja hua hatoki hivi hivi, lazima nile mzigo tu,
 
Back
Top Bottom